NDAGLA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 2,490
- 1,351
huelewi nini hapo sasa. wewe umesema sijui kikwete sijui mwinyi walikuwa marais, sasa hata kama ni waislam wataenda kinyume na mfumo? tumia akili. leo hii hata kama utakuwa muislam ukiwa waziri mkuu wa Uingereza lazima u-obey taratibu za kimalkia ambayo ndo kiongozi mkuu wa anglikana. naona wewe ndo mwenye mawazo ya ki-secondary.
tatizo hapo sio mtu bali mfumo uliopo.
Kwa hiyo huu ndo mchele,ulokufanya uone hoja yangu ni pumba?
Ndo maana nimehoji utimamu wa akili yako.
BAKWATA ndo unaiita mfumo?
(maana hapa tunajadili BAKWATA)
Haka si ni kagenge ka wahuni wachache tu kalikopachikwa kwenye mfumo.
Halafu ulivyo mtupu kichwani,unafananisha BAKWATA na Constitutional Monarchy ya UK,Kweli?
Nani kakuambia PM wa Uingereza anaobey taratibu za kimalkia? Kwani UK ni absolute monarchy kama Oman,Vatican,Qatar,Swaziland etc?
Kwa hiyo Kikwete nae anapokea maagizo kutoka kwenye mfumo wa BAKWATA according to you.
SIKIA WEWE.
Mwinyi na Kikwete walikuwa nao uwezo wa kuivunja BAKWATA kama wangekuwa waislamu kweli hata kama hawakuchaguliwa kuutetea uislamu sema ni unafiki na ukafir tu umewajaa.
KWA NINI NASEMA HIVYO.
1-Ni ukweli usiopingika kwamba BAKWATA inawasaidia Sana wanasiasa katika siasa zao hivyo wanailea ilhali wakijua fika kuwa ni kikwazo kwa ustawi wa uislamu na waislamu wenzao halafu wakitoka madarakani wanasingizia mfumo.
HUU NI UNAFIKI.
2-Kikwete anamalizia ngwe yake mwakani kwa nini asiivunje basi maana yeye ilishamsaidia tayari na anajua madhira yake kwa waislamu wenzake.
Yaani kutetea imani yako mpaka upigiwe kura kwa ajili ya hilo? Ni ukafir na unafiki mkubwa umemjaa.
Adui wa waislamu kwenye hili suala la BAKWATA ni Nyerere aliyeiasisi akifuatiwa na Mwinyi then Kikwete hata kama hawakuchaguliwa kutetea uislamu si ni waislamu bhana hivyo kuutetea uislamu ni WAJIBU.
Kutokuona unafiki na ukafir wa Mwinyi na Kikwete kwenye suala la BAKWATA badala yake kuendelea kusingizia mfumo ni Unafiki.
Kama ni pumba tena,pelekea ngurewe wako.
Ndo nshasema hivyo.
Na log off.