Ha ha ha hahahaha! Ni bahati mbaya sana Waafrika hatuku invent dini yetu, labda tungekuwa wamoja.Udini mbaya sana ndio maana mimi nimeamua kuwa Pagan.
Ebu angalia sasa Magwanda wote saizi wameamia Magamba! Ha! Ha! Ha!

Muwaishe mtoto madrasa ukamuongeze ukungu kichwani.
Je kwa hili utasema serikali ya CCM inawachukia wakristo?View attachment 37569Hao mashehe wenyewe ni wizi lakini ukweli ni kuwa CDM inachukia Uislamu
Punguza jazba.

sio makosa yako kosa ni aliyekuleta mjini unajicho moja (one eyed men)umelifumbua ukaona dunia ya bandia ya mbele huyajui hicho ni kiburi cha pumzi iko siku zita potea halafu umtafute slaa na hawara wake wakusaidie wacha ushabiki
na nyie mnaozungumzia kuhusu mahakama ya kadhi "Pumbavu zenu"
Okey issue sio kupigwa bali ni kuvuliwa nguo na kuzalilishwa. Vp kuhusu uyu?View attachment 37570hoja hapa ni kuvuliwa hijabu si kupigwa, Masheikh wana haki zote kulisemea hili la kuvuliwa hijabu kwa kuwa Fatuma ni mfuasi wa uislam
Ndio maana tangu mwanzo nilisema kuwa BAKWATA hawakutumia busara. Hawawezi kukurupuka tu kwa yale wanayotaka wao. Sheria msumeno.Mbona bakwata hawakutoa tamko dhidi ya tukio la yule mama wa CUF aliyefunuliwa hijab na maafande??
CHADEMA wangekuwa ni punguani kama hayo mabaraza na wao wangetoa tamko kuwataka BAKWATA na BASUTA kuwaomba radhi CHADEMA kwa kosa la kubaka demokrasia lililofanywa na na uyu DC simply because ni muislam.Ndio maana tangu mwanzo nilisema kuwa BAKWATA hawakutumia busara. Hawawezi kukurupuka tu kwa yale wanayotaka wao. Sheria msumeno.
Jamaa kwani walimvua nguo? Duhh hatari.Okey issue sio kupigwa bali ni kuvuliwa nguo na kuzalilishwa. Vp kuhusu uyu?View attachment 37570
Wewe kweli CDM damu, naona jinsi unavyo chukia uislamuCHADEMA wangekuwa ni punguani kama hayo mabaraza na wao wangetoa tamko kuwataka BAKWATA na BASUTA kuwaomba radhi CHADEMA kwa kosa la kubaka demokrasia lililofanywa na na uyu DC simply because ni muislam.
Hapo umenena mkuu, naamini intention ilikua si kumvua DC hijab, wana CDM walikua wanatimiza wajibu wao kama raia yeyote anayepaswa kumdhibiti mualifu pindi polisi wanapokua mbali na eneo la tukio.When a child judge a certain action, he takes into account only the consequences of the behavior and pays no attention to the intention underlying the behavior.
Bakwata na wale wote wanaoona kuwa huyo DC mzandiki katendewa ndivyo sivyo uelewa wao wa mambo ni kama wa mtoto mdogo anaeangalia zaidi matokeo kuliko chanzo.
Mimi nilisema jamani chama hichi ni hatari kwa uislam, wakipewa nchi hawa marufuku kuvaa hijabu, marufuku vipaza sauti misikitini, waislamu fungueni macho.
Kwani waislam mnachukia CDM?Wewe kweli CDM damu, naona jinsi unavyo chukia uislamu
Bora wangeivua, wameichana kabisa.Jamaa kwani walimvua nguo? Duhh hatari.
Acha nikamuulize shehe wa mtaa. Nitakujulisha .Kwani waislam mnachukia CDM?
Hao mashehe wenyewe ni wizi lakini ukweli ni kuwa CDM inachukia Uislamu

Mimi nilisema jamani chama hichi ni hatari kwa uislam, wakipewa nchi hawa marufuku kuvaa hijabu, marufuku vipaza sauti misikitini, waislamu fungueni macho.