Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Yakhe wallahi naenda kula urojo na gari yangu unguja jioni narejea bara.
Hivi eeeh......
Nataka nifike kwa Amina mpaka hina wa Kibanda maiti.....nitaarudi kesho....
Yakhe wallahi naenda kula urojo na gari yangu unguja jioni narejea bara.
Kwani hamna serikali?Huyu mzee mbinafsi sana atuwekee ya kivukoni bagamoyo basi ile mv dar wanajua wenye mji walichotufanyia aache kauchoyo bwana vitu vizuri kula na nduguyo
Unaangalia na sehemu ya kulalamikia mdau kuna wengine shingo zao zishakuwa ngumu hata kugeuka kukusikiliza haiwezekani nimejiwazia tu kwa sauti Mungu kampa atuangalie na sie wanyonge hata akitupa makombo sawa tu tutakula manake tuna njaapunguza kulalamika mkuu,anza kwanza kuilalamikia serikari yako.
nimekusoma mkuu.Unaangalia na sehemu ya kulalamikia mdau kuna wengine shingo zao zishakuwa ngumu hata kugeuka kukusikiliza haiwezekani nimejiwazia tu kwa sauti Mungu kampa atuangalie na sie wanyonge hata akitupa makombo sawa tu tutakula manake tuna njaa
Ni kweli mkuu, mfano Charles Hillary, tido muhando, Jeff Leah , evona kamuntu , etc , nafikiri dini ni kigezo kikuuHivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Ww una angalia Tv ya watu 15 badala uongelee viwanda vya watu 4000Ni kweli mkuu, mfano Charles Hillary, tido muhando, Jeff Leah , evona kamuntu , etc , nafikiri dini ni kigezo kikuu
AhahahahahaaWewe unayo hata ngalawa?
Penye kustahili sifa pongeza,huwezi kaa kimya utaonekana wa maana zaidi.
Bahati nzuri hahitaji mtu amuelewe, uzuri anajielewaAlete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Niwewe ni mmoja wao nini??angewekeza na angani sio baharini tuBahati nzuri hahitaji mtu amuelewe, uzuri anajielewa
Amelipa kodi za uingizwaji wa Meli hiyo?![]()
![]()
![]()
NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.
Chagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Kama ni ushauri sawa, la vinginevyo nadhani hayo yatakuwa ni maamuzi yakeNiwewe ni mmoja wao nini??angewekeza na angani sio baharini tu
Mungu amuongezee kabisa, ikiwa hizo alizo nazo zimetoka kwa Mungu piaTungekua na hakina Bakheresa 10 tu basi Tramp atusubiri
..Mungu amuongezee Upeo zaidi Aweke na kiwanda cha Magar hapa Bongo
Ziwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.
Uko sahihiWewe unayo hata ngalawa?
Penye kustahili sifa pongeza,huwezi kaa kimya utaonekana wa maana zaidi.