Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,421
Huwezi hata kuvuka Barabara kwa akili hiyoChagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Huwezi hata kuvuka Barabara kwa akili hiyoChagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Ndio wale wale. Na akileta Ndege, atasema kaleta Boeing, alete Airbus, BAKHRESSA akileta Airbus atasema alete midege ya kivita ka ile ya Russia. Misisiemu sijui ikoje!Wewe unayo hata ngalawa?
Penye kustahili sifa pongeza,huwezi kaa kimya utaonekana wa maana zaidi.
Acha kujipendekeza kwa nchi za watu!Anastahili pongezi maana anarahisisha usafiri tukumbuke tuna ndugu jamaa marafiki Zanzibar...na fursa za biashara/ajira zinaongezeka pia pongezi kwake
Mbona unaniangusha mkuu hata kwenye biashara mnaingiza siasa, kweli siasa siyo professional nimeaminiChagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Hujui tu ndugu yangu meli ni ghali kuliko ndege bei yake hiyo inaweza kuipita bei ya bombardier zote tatu.Alete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Hivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??Chagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Uwezo was kuweka pipa anao, huyo jamaa miradi take hakurupuki. Anafanya utafiti na upembuzi wa kina kabla ya kuanzisha mradi.
Wewe jamaa kama ndiyo think tank ya familia wanahasara...kwa maana nyingine kuna uzi haujakaa sawa huko kichwani.Chagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
hakika hili ni pigo kwa chadema..Chagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Ni aibu sana serikali hii ni aibu mtu mmoja kukushinda, mnaishia kununua mimeli mibovu MV DAR ES SALAAM ha ha haa mnunuzi Magufuli... UVCCM acheni siasa za hovyoChagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Ukitaka kujua biashara ya usafiri wa anga ina changamoto za namna gani mulize JKAlete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu