Najua sio Mungu, ila anaonekana kwako wewe ni mungu wakoKwanza huyu sio Mungu, utakonda bure tu kwani utajikuta unakuwa mtumwa, ukienda sehemu utakuwa kila unchokula utauliza ni bidhaa ya nani hii.
Ofisi ya Heleni Bi Kijo Simba LHRC wafanyakazi wote wakristo,mameneja na wakurugenzi wote Tanesco wakristo
Hahaha
na mtazid kubaki nyuma hivo hivyo maana elimu kwenu ilipita kushotoMfumo kristo uliwaacha nyuma sana waislamu, sasa Bakhresa ni muumini mzuri wa hiyo dini wacha awasaidie ndugu zake na dini yake inamuelekeza kufanya hivyo.
Huyu Firdaus inamuhusu na vile vibira.
Asante Mungu chijui dini wala kabila langu..mi nadandia popote penye masrahi ya kunifanya nikamsalimu mende baadarKama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Kule Bima kulikuwa na akina Ambwene, Mwakifulefule, Asukile, Atupele, Tusubilege.Kama rcdb kuna kimaro,mushi,kiria, n.k
Yani wwe ndo umeongea, watu wa north na kanda ya ziwa na mbeya, wanaangalia sana dini na kabila la mtu japo si wote. Nchi hii isingekua sisi watu wa mikoa ya kati na pwani kidogo ubaguzi ungetrendi sana ila sisi ndo kwa upumbavu wetu wa kutekwa na utanu na ujamaa sijui huko nyuma ndo utanzanka uko mbele kuliko udinj na ukabilaKama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Umekosa kazi kwa kukosa sifa, mkulu mbona kabineti imejaa kanda ziwa husemiSiri ya mtungi aijuye....!
Yule mzungu aliitwa kafiri na waulize hao uliowataja hapo juu kuhusu hizo tuhuma ni kweli au la!
Hiyo ina maana ukifika hapo hakuna masaji ya kuguswa na wanawake masaji hufanywa na mashne kwasababu ni dhambi kwa muislam kuendesha biahara za masaji ka zifanyazwo na wazungu zenye kuhamasisha ngono ngono
Acha uongo huoBakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Mbona mnapenda kukuza mambo msioyajua? Katika haya makampuni binafsi hususani ya wahindi na waarabu wanaajiri wafanyakazi wapya kwa kudhaminiwa na na wale wenyeji ili mfanyakazi mgeni akiharibu wanambana mdhamini wake ambaye wako naye hapohapo kazini. Kwa mfano MO wame centralize mambo ya recruiting yanafanywa na ofisi ya HR pale morogoro Rd na local recruit manager sio muislam anaitwa Kaynat hata maofisa wake pale wapo wasio waislam wengi tu. La mwisho waislam ni ndugu kwa hio ni jumbo la mhimu kusaidiana wao kwa wao kwanza.Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Mwendokasi pia kuna USUKUMAIPP kuna UCHAGGA, AZAM kuna UISLAM, SAHARA kuna USUKUMA
Lakini kwanini mnalazimisha kufanya kazi bakhresa, nendeni Coca-Cola, IPP, Star Media au hata Kisena group.HILI LIKO WAZI, NA UKIONA MKRISTO KAWEKWA HAPO UJUE WAMEMKOSA MWENYE SIFA UPANDE WA PILI
Yaleyale ya Bw. Dau kuigeuza taasis ya umma kuwa group la dini