Toa uthibitisho kwamba majority ya wasukuma ni wapagani. Kwani huko pwani wapagani hakuna ???Kanda ya ziwa ni mwanza,mara,kagera,shinyanga..mwanza na shinyanga wasukuma,wengi wao wapagani,mara sifahamu,kagera kuna pockets za waislam
Ndio inafuta ile dhana ya kisingizio kuwa waislam hawajishugulishi.Ni sawa wameachwa nyuma lakini kwanini asilimia kubwa wenye mpunga ni Waislamu?
Yaani observation ya kawaida tu kwa mtu aliezunguka nchi anaweza kujua asilimia yao kuwa ni minority. No offense.huyu mvaa kubaz ndio wanavyodanganyana eti wapo 85% hahaha elimu elimu
azam kulikuwa na wakristo wenye vigezo wakaachwa?Waislam walikuwa na vigezo wakaachwa???
wivu.comAtaajiri vibagalashia wenzake tu. Mwendo mdundo
hapana fanyavll utafiti tenaWapo wawili tu
hayo ni majungu tu na watu wenye husda chuki na wivu. mimi ni mkristo na nina ndugu zangu wawili wanafanya azam tvAzam kama muwekezaji wa ndani sidhani kama hilo lipo sawa, lakini bora akili imshtuke mapema kama hawatobadilika sidhani kama watakua na future nzuri......by the way labda ni sera ya kiwanda tumuache.
Inakuuma? Tafuta hela.Karibu $96 ya wafanyakazi wa Bakhresa group ni Islamic.
Wako vizuri.Mimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.
Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza
Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
Unataka kusema hakuna Mkristo hata mmoja hadi wewe wakufukuze simply "wamegundua" wewe ni Mkristo?!Mimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.
Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza
Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
Pale udini ndio nyumbanj kwaombona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
Jumla pale kuna wafanyakazi 271 Wakristo wako 31 tu. Tena wengi wao ni wake za hao waislamu... Hapo ni pale HOUnataka kusema hakuna Mkristo hata mmoja hadi wewe wakufukuze simply "wamegundua" wewe ni Mkristo?!
Kama simulizi yako ni ya kweli, basi kuna uwezekano wewe ni FRAUD! Walikutimua kwa hisia kwamba umefoji vyeti/unatumia vyeti vya mtu mwingine na sio kwamba eti ni Mkristo!!
Hadi wanaofanya usafi?Kama rcdb kuna kimaro,mushi,kiria, n.k
Una chuki iliyopitiliza tafuta pesa.Mkuu nakosa hata cha kukujibu, naogopa nisije nikaharibu siku yako kwa majibu ambayo yanaweza yasiwe rafiki kwako.Jaribu kufuatilia michango ya wengine ambao wamechagua kutokusimamia upande.
Ni kweli basi kila mmoja Apambane na hali yake. Waislam tunapambana na 0 zetu 😛 na watoto wa bi mkubwa Pambaneni na makaratasi yenu yote maisha mradi mkono uende kinywani