Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Sasa kwa mwenyekiti wa Madrasa mnalialia nini? Au mna mpango wa Azimio la Arusha ili mumtaifishe mali zake? Makatonta wasomi ndio wamefisidi hii nchi kufikia hapa tulipo!!wakati wanasoma wao walikua madrasaa, ila sasahivi mwamko mkubwa, top 10 za mwisho kitaifa mikoa ndio ile ile ya madrasa
Cause wakristo ni wengi zaidi nchini so ni kawaida.Serikali ya magufuli inaudini,ofisi zote za umma 90% ya watumoshi ni wakiristo,mabalozi,makatibu wakiu,mawaziri, Nk.
Toa ushahidi wa data zakoHilo jee si kibwazaidi? Maana afadhali Azam ni kampuni binafsi lakini nchi YETU wote.na yz waislamu ni zaidi ya 60% .
Lakini ukija vyuoni,kazini,serikalini wanabaki 20% Inakuwaje kama simoakati wa udini?
Ndio hao hao ambao hawakusoma waliwazidi uzalendo makatonta wakatafuta uhuru wa nchi. Na wanaojisifia usomi wakaifilisi nchi kwa kiwango cha lami.wakati wanasoma wao walikua madrasaa, ila sasahivi mwamko mkubwa, top 10 za mwisho kitaifa mikoa ndio ile ile ya madrasa
Tafuta sensa ya mwaka 1969 utapata jibu.Toa ushahidi wa data zako
Toa ushahidi kuwa serikali inaajiri wakristo tu.Hujalazimishwa kununua bidhaa za bakhresa.
Unaenda kununua kutokana ubora wa bidhaa zilizotengenezwa na waislamu. Sioni tatizo lipo wapi.
Mbona sirikali inayoendeshwa kwa kodi zetu inabagua watu wa kuwaajiri kwa misingi ya dini (ukiristu) na ukabila (kada ya ziwa)??
Nakuuliza wewe mbona husemi???
Yani kampuni yangu afu unipangie wa kuwaajiri, we mpuuzi kweli
Kwani upande upi wa nchi una watu wengi!?..upande upi hauna waislam?..kamuulize mtei atakupa ukweliWaislam hardly wanaweza kuwa 40% maximum nchi nzima. Wapo concentrated pwani zaidi ndo majority.
Knowledge ya kawaida ya Demographics,historia na anthropology inatosha kujua kama wakristo ni wengi zaidiKwani upande upi wa nchi una watu wengi!?..upande upi hauna waislam?..kamuulize mtei atakupa ukweli
Kuna wazungu na wakenya na sio waislamBakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Kwa knowledge ya kawaida tu ya historia, anthropology na demographics za nchi inatosha kuona kuwa wakristo ni wengi zaidi. Chukua mikoa yote ya nchi hii then tafuta dini gani ni majority then leta majibuTafuta sensa ya mwaka 1969 utapata jibu.
Labda ikiwa kuna maradhi yalipita yakaua waislamu ama waliuawa kinyama ndipo hesabu ikapinduka kuwa hii ya siku hizi.
BaraKwani upande upi wa nchi una watu wengi!?..upande upi hauna waislam?..kamuulize mtei atakupa ukweli
Watakuumisha kichwa, sasa hivi wanamshabikia MO kana kwamba naye si muislamu!!!Kuna wazungu na wakenya na sio waislam
hebu lete hyo knowledge..ukristo uliokuja na wamisionari karne ya 18 hauwezi shindana na uislam uliokuja mapema zaidi na kuingia ndani ya tanganyika..waislam wa dar tu wanacover population ya mbeya na iringaKnowledge ya kawaida ya Demographics,historia na anthropology inatosha kujua kama wakristo ni wengi zaidi
Ikiwa na wapagani ni wakristo nakubaliana na hesabu yako kama ilivyokuwa South Sudan. Leo hii bado kinaumana baina ya pagans na christians lakini haitangazwi tena.Kwa knowledge ya kawaida tu ya historia, anthropology na demographics za nchi inatosha kuona kuwa wakristo ni wengi zaidi. Chukua mikoa yote ya nchi hii then tafuta dini gani ni majority then leta majibu
Bara wengi ni wasukuma na wanyamwezi,wasukuma wengi ni wapagani..ukichukua waislam wa dar na tanga unalinganisha na wakristo wa mikoa isiyopungua minneBara
Hebu list mikoa yote ya Tanzania alaf onyesha mikoa ambayo waislam ni wengi zaidi....so unasema Dar hakuna Wakristo au???Bara wengi ni wasukuma na wanyamwezi,wasukuma wengi ni wapagani..ukichukua waislam wa dar na tanga unalinganisha na wakristo wa mikoa isiyopungua minne
Hawezi kuijua hiyo hesabu kwa sababu haoni idadi ya misikiti au wamiliki nyumba miji mikubwa mingi. Achilia mbali Pwani. Atazame Kigoma, Mwanza, Dodoma, Singida, Tabora nk. Na wanachosahau wakati wanaogopa umaskini kwa kuzaa waislamu wanazaana. Kwa mujibu wa Pasco "kuna vifo vingi kutokana na umaskini ndio maana idadi ya waislam inapungua!!!!!"hebu lete hyo knowledge..ukristo uliokuja na wamisionari karne ya 18 hauwezi shindana na uislam uliokuja mapema zaidi na kuingia ndani ya tanganyika..waislam wa dar tu wanacover population ya mbeya na iringa