Ndg zangu wachaga kuna ukweli hasa Machame.Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
watu hamkosi sababuSababu ni mahiri zaidi ktk utangazaji, sehemu zingine ni kanzu tupu hadi wauza ice cream, hili jambo ni la kweli.
Huko haki sawaInauma eeh!?..serikalini nako kupoje?
Yaani hao walishikwa mkono na viongozi wa serikali .
Dalili zinaonesha hupendi na unachukizwa na uwekezaji wenye mafanikio wa SSB na AzamTV.Hapana hii haitakiwi maana kila kampuni ikifanya hivi unafikiri nchi itakuwaje? Kutakua hakuna haja ya kuwa na watu competent bali wafia dini tu
Kwan wakristo hawana sifa au ??kuna muislam kaajiriwa azam tv ambaye hana sifa?
Mkuu sinaga ubaguzi kwa wachaga, na ukisoma posts zangu nyingi huwa nawatetea hasa wanaposhambukiwa bila sababu.watu hamkosi sababu
Wewe ndio unaleta udini hayawani wewe. Acha unafiki. Mmezoea majungu na unafiki mpaka kwenye biashara za wenzenu. Anzisha yako utoe ajiraBakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Wafanyakazi dola 96 eehKaribu $96 ya wafanyakazi wa Bakhresa group ni Islamic.
Mkuu ukipata jibu nitagnimeuliza swali tu hawa wakristo walioajiriwa azam media kwao ilikuaje?
kama na wewe sio muislam unanunulia nini hizo bidhaa zao simuwaachie wenyeweMfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
wakati wanasoma wao walikua madrasaa, ila sasahivi mwamko mkubwa, top 10 za mwisho kitaifa mikoa ndio ile ile ya madrasa
Siku chache kabla ya mtihani wa darasa la saba 1978 mwalimu aliingia darasani na kitabu Cha mahudhurio alituita mmoja baada ya mwingine ukifika kwa mwalimu anauliza Fulani wewe dini gani? Ukijibu Islam anakwambia kakae, ukijibu vingine atasimama muda kidogo akihojiwa na mwalimu anajaza. Hii Siri ilifichuka Morogoro watoto waliulizwa hivyo wakaenda kusema kwa wazazi wao baada ya malalamiko mengi kwa Sasa hawaulizwi tena Hilo swali ndio mwanzo wa idadi ya watoto wa kiislamu kufaulu kwa wingi. Ni mpumbavu na mjinga tu ambaye anaweza kuamini hilo mliloandika hapo ndio maana hadi sasa Islam akipata nafasi kubwa watu midomo inawajaa utafikiri wamebumba maji,na mtazid kubaki nyuma hivo hivyo maana elimu kwenu ilipita kushoto
Na bado umepata like kwenye huo utumbo!!Karibu $96 ya wafanyakazi wa Bakhresa group ni Islamic.
Ni vema umejisema we ni mwizi wa vyeti vya watu! kama unajiita athuman na sio muislam hicho cheti cha athuman umekitoa wapi?Mimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.
Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza
Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
We nae umekazania azam media mleta mada ajaigusa hiyoo sababu ni KIOOnimeuliza swali tu hawa wakristo walioajiriwa azam media kwao ilikuaje?
Waislam hardly wanaweza kuwa 40% maximum nchi nzima. Wapo concentrated pwani zaidi ndo majority.MADA YAKO NI YA KIPUUZI SANA. NGOJA NIKUPE SOMO KWANZA NATAKA UJUE TANZANIA WAISLAM NI 85% KUBALI USIKUBALI KWA KUTAZAMA KWAKO ANGALIA WALEVI WENGI UTAKUTA WAISLAM WAFUNGWA WENGI WAISLAM MAANA YAKE WAISLAM TANZANIA NI WENGI . NA UKIBISHA ANGALIA MWEZI WA RAMADHAN WAISLAM WANAPOKUWA KATIKA MWEZI HUO WA RAMADHANI UNAONAJE NCHI NZIMA KIMYAAA SIO MABAA SIO DISCO SIO MAHOTEL YOTE KIMYA MALAYA WOTE WANA HESHIMA UHALIFU UNAPUNGUA KABISAAA MPAKA MAKAFIRI WENGINE WANASEMA WAISLAM UKIAMUA MIEZI YOTE WAIFANYE KAMA RAMADHANI SIJUI ITAKUWAJE. NDUGU YANGU WAISLAM WAKILALAMIKA HAWAAJIRIWI SERIKALINI NYINYI MNASEMA WAISLAM HAWAKUSOMA. SASA HAO HAWAKOSOMA WAMEAJIRIWA NA AZAM MADEREVA WA MALORI VIWANDANI BADO MNALALAMIKA KWA HIYO WAAJIRIWE NA NANI NA NGWAJIMA