BAK, uko Juu, ila Uwe unatoa na lift!!!

BAK, uko Juu, ila Uwe unatoa na lift!!!

Naona 'kujiuza' ni taaluma yako, uko well informed, big up
Mbona la rummor ya kufumaniwa umeruka?

HApo kwenye red, safi sana, angalau umekiri kimtokacho mtu kinywani ndicho kiijazacho nafsi yake, usidhani wewe ndiwe mwenye mali au akili kuliko waliochangia hii sred. Suala la kuringishia mali sababu limekujaa moyoni ndio maana wewe mantiki uliyoipata kwenye hii sred ni 'kuringishiwa Range, hata akili nyepesi kabisa inaweza estimate kwa TZ 'BAK' ni gari imesajiliwa mwaka gani, bado ni kitu kikuumize Mwanammme? Unajiona uko normal?' VERY LOW FOR A MAN.

Na ungekuwa na akili kama unavyofikiri, ungegundua mapema ile sred siyo class yako, lakini kutaka kuonesha kuwa wewe ukiamua kuandika ulivyonavyo seva itajaa, imeonesha how insecure you are, hakuna mtu aliye-confident na maisha yake atahangaika kuprove kuwa mwenzie ni maskini kuliko yeye unless something is not right in his head. Deal with your insecurities, utaimprove your personality. As for now, you are not a man enough, au una homoni nyingi za kike? Au cognitive theory inakuhusu, labda makuzi yako?

Nafikiri wenye akili hapo kwenye "red colour" watakuwa wamepata jibu la nani huwa hasomi anachokiandika. Mbona nilipoongelea Tandale hukusema kitu lakini nilipoongelea Ohio ulishtuka sana na kuanza kusema mambo ya kujiuza? Nani alisema kila mtu aliyepo Ohio anajiuza, mbona hata Mabenki na Movenpick yapo hapo hapo au nao wanaoenda mitaa hiyo wanajiuza?

Ama kweli kimjazacho mtu moyoni ndicho kimtokacho
, ahsante kwa kunielewesha zaidi ulivyo na wengine watakuwa wamekupata pia.
 
He he he, nikiweka na baby walker yako itabidi GRAfan1 aorozeshe mali zake zote hapa hadi shamba la mkuranga.

Vipi za siku? Hujaumizwa na Range ya BAK?

Kongosho si uwekage na ila babywalker yangu bana unipaishe....lol miss u
 
Last edited by a moderator:
Naona 'kujiuza' ni taaluma yako, uko well informed, big up
Mbona la rummor ya kufumaniwa umeruka?

HApo kwenye red, safi sana, angalau umekiri kimtokacho mtu kinywani ndicho kiijazacho nafsi yake, usidhani wewe ndiwe mwenye mali au akili kuliko waliochangia hii sred. Suala la kuringishia mali sababu limekujaa moyoni ndio maana wewe mantiki uliyoipata kwenye hii sred ni 'kuringishiwa Range, hata akili nyepesi kabisa inaweza estimate kwa TZ 'BAK' ni gari imesajiliwa mwaka gani, bado ni kitu kikuumize Mwanammme? Unajiona uko normal?' VERY LOW FOR A MAN.

Na ungekuwa na akili kama unavyofikiri, ungegundua mapema ile sred siyo class yako, lakini kutaka kuonesha kuwa wewe ukiamua kuandika ulivyonavyo seva itajaa, imeonesha how insecure you are, hakuna mtu aliye-confident na maisha yake atahangaika kuprove kuwa mwenzie ni maskini kuliko yeye unless something is not right in his head. Deal with your insecurities, utaimprove your personality. As for now, you are not a man enough, au una homoni nyingi za kike? Au cognitive theory inakuhusu, labda makuzi yako?
Kwani kufumaniwa ni jambo la ajabu, mbona hata Bill Clinton Rais wa dunia mstaafu alifumaniwa na Monica. Naona umelishikia bango kwa kuwa Mwanamke wangu alikudunda sana pale nilipofumaniwa nikikugegeda?

Halafu ukisoma hoja zangu zote hakuna sehemu niliyosema mimi ni tajiri au nina mali nyingi sana, mimi ni maskini kama wewe na ndiyo maana kila siku naamka asubuhi kwenda kibaruani kutafuta, aliyetajiri ni Mungu pekee, kwani alifanya kazi siku sita ya saba akapumzika mpaka leo na milele yote akitukuzwa.

Kilichoongelewa hapa ni hata kama ni maskini kihivyo kama wewe ulivyo usishobokee wenye magari namna hiyo mpaka kujirahisisha mwanamke.

Siyo class yangu:
Vile vile ni kweli hoja ya kujishusha hadhi kama unavyofanya wewe siyo hadhi yangu endelea kuuza kwa wenye magari, You said it very well kutofautisha hadhi yangu na yako.
 
Ha ha ha, sasa kuanzia mwanzo ulikuwa unataka nini? Kama unajua mie sio hadhi yako(hapo hapo umenigegeda)?

Utadhani umekula akili.

Kwani kufumaniwa ni jambo la ajabu, mbona hata Bill Clinton Rais wa dunia mstaafu alifumaniwa na Monica. Naona umelishikia bango kwa kuwa Mwanamke wangu alikudunda sana pale nilipofumaniwa nikikugegeda?

Siyo class yangu:
Vile vile ni kweli hoja ya kujishusha hadhi kama unavyofanya wewe siyo hadhi yangu endelea kuuza kwa wenye magari, You said it very well kutofautisha hadhi yangu na yako

Hapa nakupa ushahidi wako mwenyewe

Unafikiri wote tuna utoto kama huo, ukitaka kila mtu aweke anachokinunua hapa mbona tujajaza SERVER za JF.

Halafu ukisoma hoja zangu zote hakuna sehemu niliyosema mimi ni tajiri au nina mali nyingi sana, mimi ni maskini kama wewe na ndiyo maana kila siku naamka asubuhi kwenda kibaruani kutafuta, aliyetajiri ni Mungu pekee, kwani alifanya kazi siku sita ya saba akapumzika mpaka leo na milele yote akitukuzwa.

Kilichoongelewa hapa ni hata kama ni maskini kihivyo kama wewe ulivyo usishobokee wenye magari namna hiyo mpaka kujirahisisha mwanamke.

Hapo red, umeonesha una vitu vingi ambavyo ukiviandika una uawezo wa kujaza seva ya jf, ulitaka kuonesha wewe una vingi sana, ambayo maana yake wewe ni tajiri.

Uko too weak, kama unajiamini una mali na hilo ndio ulilotaka kuonesha, ungestick kwenye hilo hilo, hapa mwisho tena unasema ww ni maskini. Hujui hata status yako?
Mie sijihesabu maskini sababu nina kichwa kizima, kwa hiyo usiniweke kwenye kundi lako, ambalo hata hiuna uhakika nalo.
 
Bora upande daladala sanasana vits, gari unapeleka service huku moyo unauma?

Na mbaya zaidi ukigongwa na mie dereva wa kampuni, hata uniue sina uwezo wa kukulipa[/QUOTE]

Heh, una matatizo tena makubwa kuliko nilivyofikiri

SIkujua kama uko kwa ajili ya matangazo, na nikishobokea wengine elfu moja usidhani nashobokea wote. Hata umiliki mbingu na ardhi, huna AKILI ya kunifanya nikushobokee. Umeumiaaa kuposti hiyo pic, unadhani wengine waliokomenti hapa hawana vikubwa zaidi ya hii range?

Na kujibizana na mtu aliyevua wote mko uchi tu. Nilikuwa nakuona wa maana siku zote, kumbe hata huwezi tofautisha vitu serious na vya kupoyeza muda? You call urself a man wa kushobokewa? My foot!

Narudia tena, una roho ya kimaskini sana, sikutegemea.

Ha ha ha, sasa kuanzia mwanzo ulikuwa unataka nini? Kama unajua mie sio hadhi yako(hapo hapo umenigegeda)?

Utadhani umekula akili.

Hapa nakupa ushahidi wako mwenyewe

Hapo red, umeonesha una vitu vingi ambavyo ukiviandika una uawezo wa kujaza seva ya jf, ulitaka kuonesha wewe una vingi sana, ambayo maana yake wewe ni tajiri.

Uko too weak, kama unajiamini una mali na hilo ndio ulilotaka kuonesha, ungestick kwenye hilo hilo, hapa mwisho tena unasema ww ni maskini. Hujui hata status yako?
Mie sijihesabu maskini sababu nina kichwa kizima, kwa hiyo usiniweke kwenye kundi lako, ambalo hata hiuna uhakika nalo.
Dereva wa magari ya kampuni, ungekuwa na kumbukumbu ungejua ni nani aliyeanza kumuita mwenzake maskini, unasahau hata unachokiandika, Poor minded.

Mshobokaji ungeelewa jinsi unavyojichanganya na kujidhalilisha humu nadhani ungekaa kimya. Ni wewe ulianza kuniita mimi tajiri wakati hata kujitangaza sijajitangaza, baadaye ukagundua kosa lako ukaniita mimi ni maskini, sasa ulitaka niseme tajiri ili iweje? Nimekuunga mkono ili ufurahie ulichokisema.

Kuhusu kugegedwa utagegedwa tu pindi ukishobokea magari hata kama mgegedaji ana hadhi kubwa kuliko yako, nimekupa mfano wa Bill Clinton na Secretary wake, hujaelewa kwa akili zako fupi unarudia swali lile lile. Kweli akili fupi kama "Mie ni yule niliyetabasamu baada ya kuona gari lako, nikomrefu mrefu afu mfupi". maana hata ulivyo hujijui.
 
Pamoja na yote haya, deal na insecurities zako, unapenda status za kufikirika.
Sijui kama unajielewa wala kujisikiliza

Hujishangai ni wewe tu? Je ungekuwa BAK si ungesema nimekubaka? Na unajiona uko sawa?

Sidhani kama kuna tajiri anashobokea vitu vidogo vidogo kama hivyo. Kama roho ya kimaskini unayoiongelea imeota mizizi mlangoni mwako usifikiri kila mtu anayo.

Nilikuwa nafikiri naongea na mtu mwenye fikra pevu kumbe naongea na Ohio street.

Ndugu umeenda mbali sasa na matusi juu khaaa!!!
Kwani hasira yako hasa imeanzia wapi na imesababishwa na nini, maana maneno hatari hayo kama rangi ilivo hatari mmmh!!
 
wadada bana mnadharaulika mpaka basi, ebu achaneni na mitamaaa mheshimike

Pamoja na yote haya, deal na insecurities zako, unapenda status za kufikirika.
Sijui kama unajielewa wala kujisikiliza

Hujishangai ni wewe tu? Je ungekuwa BAK si ungesema nimekubaka? Na unajiona uko sawa?
Sidhani kama unajielewa kwa hayo unayoongea. Ulifikiri wote wanaakili kama za kwako na wale wanaokusapoti ujinga wako?
 
He he he, nikiweka na baby walker yako itabidi GRAfan1 aorozeshe mali zake zote hapa hadi shamba la mkuranga.

Vipi za siku? Hujaumizwa na Range ya BAK?
Kongosho mi wala hainisumbui.....wananisumbua wake zangu tu kila nikiwa nao najiskia burdaani. Kila mmoja ana baby walker yake na hawana tamaa na marange....ya nini kujipa presha bana
CC AshaDii gfsonwin Asprin (kwa taaarifa) cacico (Kwa taarifa)
 
Last edited by a moderator:
Matusi ni akili yako inavyotafsiri. hivi nikisema Kinondoni ni matusi au wilaya? Kama jibu ni siyo kwanini ufikiri ikitajwa Ohio ni matusi kama akili yako haikuelekezi huko? Jipange.
Ndugu umeenda mbali sasa na matusi juu khaaa!!!
Kwani hasira yako hasa imeanzia wapi na imesababishwa na nini, maana maneno hatari hayo kama rangi ilivo hatari mmmh!!
 
Kongosho mi wala hainisumbui.....wananisumbua wake zangu tu kila nikiwa nao najiskia burdaani. Kila mmoja ana baby walker yake na hawana tamaa na marange....ya nini kujipa presha bana
CC AshaDii gfsonwin Asprin (kwa taaarifa) cacico (Kwa taarifa)

swtlo wangu Kaizer wewe wanijua mie TZ11 inanitosha kabisaaaaaaaaaa.
haya ma vogue, sijui marange sijui ma jaguar nawaachia wenye mbavu zao manake

siwez kucheka best mbavu sina......
 
Last edited by a moderator:
Matusi ni akili yako inavyotafsiri. hivi nikisema Kinondoni ni matusi au wilaya? Kama jibu ni siyo kwanini ufikiri ikitajwa Ohio ni matusi kama akili yako haikuelekezi huko? Jipange.

si bure................. si rizki............. hatareeee
 
Mwenye akili mmoja kati ya wajinga alfu? Ndo weye?

Sidhani kama unajielewa kwa hayo unayoongea. Ulifikiri wote wanaakili kama za kwako na wale wanaokusapoti ujinga wako?
 
Ha ha ha, ntakusuta na dera ujue?

Umewaita hawa kwa nini? Au nao wanavyo vya kuorodhesha hadi seva ijae?

Kongosho mi wala hainisumbui.....wananisumbua wake zangu tu kila nikiwa nao najiskia burdaani. Kila mmoja ana baby walker yake na hawana tamaa na marange....ya nini kujipa presha bana
CC AshaDii gfsonwin Asprin (kwa taaarifa) cacico (Kwa taarifa)
 
swtlo wangu Kaizer wewe wanijua mie TZ11 inanitosha kabisaaaaaaaaaa.
haya ma vogue, sijui marange sijui ma jaguar nawaachia wenye mbavu zao manake

siwez kucheka best mbavu sina......

Umeona eeh swthr.....wakuwache mtoto wa watu huna makuu
 
Ha ha ha, ntakusuta na dera ujue?

Umewaita hawa kwa nini? Au nao wanavyo vya kuorodhesha hadi seva ijae?
Kongosho ukivaa dera ujue unapendeza sana..in fact u look sexy hapo sidhani hata mzee mwenzangu Dark City maini yataacha kumcheza,,,, hao nimewaita ni askari wangu huwa wananilinda kwenye hoja kama hizi lol
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli kuna binadamu wanaamka na stress zao na kutaka kupangia watu nini cha kupost na cha kutokuposti.....
BAK nasubiri lifti mie
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
badili @Tabia wala usipate shida kabisa BAK hataona shida kukuchukua toka point A mpaka point B na hata point C na kisha kukurudisha point A. Ya nini upate shida na kutoka viazi vya miguu wakati marafiki wa kukusaidia wamejaa tele kama pishi ya mchele. Hata marafiki zangu akina FP, Mamndenyi, sakapal, Kongosho, Lisa na wengineo hawana sababu ya kupigwa jua kali la Dar na vumbi tele wakati marafiki wa kweli wa kuwaepusha na hili wapo. Rafiki yangu FP nikimuomba hata saa 10 za usiku anipe lift kuelekea Airport kuwahi ndege ya saa 12 za asubuhi kwa mfano atafanya hivyo tena kwa tabasamu la nguvu. 🙂:....

Back
Top Bottom