BAK, uko Juu, ila Uwe unatoa na lift!!!

BAK, uko Juu, ila Uwe unatoa na lift!!!

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,234
Mie ni yule niliyetabasamu baada ya kuona gari lako, nikomrefu mrefu afu mfupi

Ujue kijana akiwa na hili siku zote anakuwa 'handsome'

BAK1.jpg
 
Photoshop kali sana Mkuu
hapo ulipoandika uko juu si
namba ya gari umeificha ?
 
Mie ni yule niliyetabasamu baada ya kuona gari lako, nikomrefu mrefu afu mfupi

Ujue kijana akiwa na hili siku zote anakuwa 'handsome'

View attachment 96334

Hahahahaa umenichekesha Kongosho sio hilo tuu mie nilishamuona one day ndani ya Harrier new model ya silver yaani nilitoa tabasamu hadi mwisho wa magego ila waaapi hakuniona, nikawaje mdogooo. BAK yuko juu kwa kweli uliyenae anafaidi sio siri, mana kwanza anafaidi santuri zake kisha......................
 
Last edited by a moderator:
He he he, kumbe anayo na harrier?

Ujue nshachoka vigimbi mie kila siku daladala hata baby walker sina?

BAK mwenyewe sjui yukwapi angalau akuachie ile Harrier walau vigimbi vipumzike na daladala looh, Kongosho muwekee santuri kama anazowekaga yeye humu jamvini akija lazima akuachie ile Harrier yake ila ukishapewa hiyo Harrier na mie usininyimege lifti ukoo
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhhh! 🙂🙂

Hahahahaa umenichekesha Kongosho sio hilo tuu mie nilishamuona one day ndani ya Harrier new model ya silver yaani nilitoa tabasamu hadi mwisho wa magego ila waaapi hakuniona, nikawaje mdogooo. BAK yuko juu kwa kweli uliyenae anafaidi sio siri, mana kwanza anafaidi santuri zake kisha......................
 
Last edited by a moderator:
Mie ni yule niliyetabasamu baada ya kuona gari lako, nikomrefu mrefu afu mfupi

Ujue kijana akiwa na hili siku zote anakuwa 'handsome'

View attachment 96334
Mkinunuaga ma-used haya basi mpaka mje huku kujipromoti, gari lenyewe mpaka label zimeanza kuchomoka herufi moja moja? Je wenye new model Vogue waseme nini?
 
Hheheeheheeee naomba niwasaidie kuwajibia swali lako, wanakujibu hivi, hayo ni maneno ya mkosaji, huna hiyo new model ungekuwa nayo ungeshaweka humu sku nyingiiii hahahahahaa ni majibu yao sio yangu pls.
 
Unafikiri wote tuna utoto kama huo, ukitaka kila mtu aweke anachokinunua hapa mbona tujajaza SERVER za JF.
 
Mhhhhh! 🙂🙂

masongi yako leo na maverse hata hayasomeki sjui imekuweje, haifunguki you tube umeweka soft ware ipi pls walau weka lyrics basi nisome maneno maana wimbo umegoma looh
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nini tatizo?
Hujala mchana?

Labda niulizwe, zikiitwa vits hii itatoka?
Na zikiitwa Range je?

Back
Top Bottom