Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,737
BAK naona Kongosho amekupaisha kweli kweli
lazima atakuwa na kaagenda kasiri kwako.
lazima atakuwa na kaagenda kasiri kwako.
badili @Tabia wala usipate shida kabisa BAK hataona shida kukuchukua toka point A mpaka point B na hata point C na kisha kukurudisha point A. Ya nini upate shida na kutoka viazi vya miguu wakati marafiki wa kukusaidia wamejaa tele kama pishi ya mchele. Hata marafiki zangu akina FP, Mamndenyi, sakapal, Kongosho, Lisa na wengineo hawana sababu ya kupigwa jua kali la Dar na vumbi tele wakati marafiki wa kweli wa kuwaepusha na hili wapo. Rafiki yangu FP nikimuomba hata saa 10 za usiku anipe lift kuelekea Airport kuwahi ndege ya saa 12 za asubuhi kwa mfano atafanya hivyo tena kwa tabasamu la nguvu. 🙂:....
Last edited by a moderator: