BAK, uko Juu, ila Uwe unatoa na lift!!!

BAK, uko Juu, ila Uwe unatoa na lift!!!

LoL!!! Nina kimkweche changu cha mwaka 47 speed yake ya kusuasua lol!!!

m
Hahaha nilikutana na corolla flani na hii BAK, nikataka kuipiga picha ila nilikuwa nduki balaa. Kumbe BAK ni handsome eeh, i mean ana magari kibao! Best uko juu!
 
Ha ha, uko worse kuliko Tandale

Ndio maana umeumia/jali sana range kuwekwa humu
Unatamani watu wajue na watambue una kikubwa kuliko hiki
Roho ya kimaskini sana, tena kwa mwanamme IT'S A SHAME!
Uanapojivua nguo mbele za watu na kuonekana utupu wako kwa mneno yako usitake na aliyekuonya naye avue nguo ili muwe sare.

Hata siku moja sina ulimbukeni wakujitangaza mali zangu kama wewe ulionao, acha watu wazione wenyewe. Mali zangu ni za wanangu, wakitangaza wao ni utoto kama wakwako wakikua wataacha. Unataka nikuoneshe mali ninazomiliki ili uanze kushoboka kama ulivyomshobokea mume wa mtu halafu akakuchunia. Shame!
 
Heh, una matatizo tena makubwa kuliko nilivyofikiri

SIkujua kama uko kwa ajili ya matangazo, na nikishobokea wengine elfu moja usidhani nashobokea wote. Hata umiliki mbingu na ardhi, huna AKILI ya kunifanya nikushobokee. Umeumiaaa kuposti hiyo pic, unadhani wengine waliokomenti hapa hawana vikubwa zaidi ya hii range?

Na kujibizana na mtu aliyevua wote mko uchi tu. Nilikuwa nakuona wa maana siku zote, kumbe hata huwezi tofautisha vitu serious na vya kupoyeza muda? You call urself a man wa kushobokewa? My foot!

Narudia tena, una roho ya kimaskini sana, sikutegemea.

  • Thanks
Reactions: BAK
Acha tu niishie hapo rafiki.
ha haaa, una la kuendelea HANDSOME?
naona unazidi kupanda chati tu....... hope hutasahau kuna mtu anakusubiri huku chini..... ruksa kunivuta huko huko juu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mambo ya kushuka chini siyo!? Mambo ya Michael Douglas haya!!!! Shurti kwa vanilla ice cream lol!!! Utajijuuuuu

ha haaa, una la kuendelea HANDSOME?
naona unazidi kupanda chati tu....... hope hutasahau kuna mtu anakusubiri huku chini..... ruksa kunivuta huko huko juu.
 
Hapo kwenye AKILI hapooooo! Hebu achana nae bwana huyu. Ligi za mchangani hizi.

Sasa lini tunapata lifti kwenye huu mkoko aisee. Manake usinisahau si unajua i hate you manake naogopa nisije nikawa nafanana na akili yako.
Heh, una matatizo tena makubwa kuliko nilivyofikiri

SIkujua kama uko kwa ajili ya matangazo, na nikishobokea wengine elfu moja usidhani nashobokea wote. Hata umiliki mbingu na ardhi, huna AKILI ya kunifanya nikushobokee. Umeumiaaa kuposti hiyo pic, unadhani wengine waliokomenti hapa hawana vikubwa zaidi ya hii range?

Na kujibizana na mtu aliyevua wote mko uchi tu. Nilikuwa nakuona wa maana siku zote, kumbe hata huwezi tofautisha vitu serious na vya kupoyeza muda? You call urself a man wa kushobokewa? My foot!

Narudia tena, una roho ya kimaskini sana, sikutegemea.
 
Ukiwa na mkweche raha kweli. Huwazi shock up wala taa zako. Gari nzuri ni stress tupu, hadi mtu alieko nyuma akikusogelea unatamani umwambie 'angalia usinigonge taa manake bei mtihani' lol. Ila mkweche unauachia tu hata mahandaki unaparamia.

There is something good about just everything and everyone!
LoL!!! Nina kimkweche changu cha mwaka 47 speed yake ya kusuasua lol!!!

m
 
Mie ni yule niliyetabasamu baada ya kuona gari lako, nikomrefu mrefu afu mfupi

Ujue kijana akiwa na hili siku zote anakuwa 'handsome'

View attachment 96334
rafiki hivi ulikuwa huelewi siku zote hizi kwa nini nimenganda sana BAK? (hivi nimekuganda au tumegandana? lol!)
mwenzio nililiona hilo zamani saaanaaaa, hata huonagi namwita HANDSOME?
 
Last edited by a moderator:
LoL!!! Rafiki nadhani tumegandana.

rafiki hivi ulikuwa huelewi siku zote hizi kwa nini nimenganda sana BAK? (hivi nimekuganda au tumegandana? lol!)
mwenzio nililiona hilo zamani saaanaaaa, hata huonagi namwita HANDSOME?
 
Ha ha ha, sometimes unajua bange la asubuhi bila kula nalo tabu

Na hapa sijanunua langu, naringia tu la jirani, mtapanda kwenye buti (hivi ina hata buti kweli)

Hapo kwenye AKILI hapooooo! Hebu achana nae bwana huyu. Ligi za mchangani hizi.

Sasa lini tunapata lifti kwenye huu mkoko aisee. Manake usinisahau si unajua i hate you manake naogopa nisije nikawa nafanana na akili yako.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie nilijua ni miziki yake, kumbe range inahusu?

rafiki hivi ulikuwa huelewi siku zote hizi kwa nini nimenganda sana BAK? (hivi nimekuganda au tumegandana? lol!)
mwenzio nililiona hilo zamani saaanaaaa, hata huonagi namwita HANDSOME?
 
Ni kweli best ukiwa na kitu cha uhakika ukiingia kwenye handaki unastuka hadi moyo unataka kusimama lol!!!

Ukiwa na mkweche raha kweli. Huwazi shock up wala taa zako. Gari nzuri ni stress tupu, hadi mtu alieko nyuma akikusogelea unatamani umwambie 'angalia usinigonge taa manake bei mtihani' lol. Ila mkweche unauachia tu hata mahandaki unaparamia.

There is something good about just everything and everyone!
 
Hahahaha yaani bhange ya kuazima inalewesha kuliko ya kununua. Nitafute nikugee kiduchu. Nilipoenda murutunguru kumzika prof masau nilivuna kiduchu kwa babu. Boomba afu ina mbegu.
Ha ha ha, sometimes unajua bange la asubuhi bila kula nalo tabu

Na hapa sijanunua langu, naringia tu la jirani, mtapanda kwenye buti (hivi ina hata buti kweli)
 
Hahaha unakuwa na kitu cha discovery 4, ukiua booster khabari ya tzs milioni tano plus zinakuhusu. Ukienda club unatamani gari uingie nayo mfukoni. Aaah ukiwa na mkweche hata usipoufunga unaukuta tu.

Ila best lift basi walau siku moja tuoshe macho. FP fanya makaratee ya kingoni bwana tumchune huyu baba lifti na tupate picha za kumbukumbu lol

Back
Top Bottom