BAK, uko Juu, ila Uwe unatoa na lift!!!

BAK, uko Juu, ila Uwe unatoa na lift!!!

He he he, deal with it bro

Wewe kama baresa na hutaki weka hapa kivyako, mie nikinunua hata kyupi nawawekea

Mradi sivunji sharia

Unafikiri wote tuna utoto kama huo, ukitaka kila mtu aweke anachokinunua hapa mbona tujajaza SERVER za JF.
 
Basi nilihangaika kutabasamu nikijua ni wewe, nikapunga mkono weee

Tena nilikuwa na wig zuri sana
Powered by wangoni cc FP na snowhite

Hahahaha lol! Huyo ni mpenzi tu wa mabandiko ya BAK hapa jukwaani mpaka kaamua kulipa sh milioni 5 ili apate plate yenye jina la BAK.

Last edited by a moderator:
Nini tatizo?
Hujala mchana?

Labda niulizwe, zikiitwa vits hii itatoka?
Na zikiitwa Range je?
Anayepaswa kuniuliza kama nimekula au sijala ni mke wangu au PS wangu, wewe upo upande gani hapo?

Swali lako la pili, iwe ni vitz, pikipiki au baiskeli hiyo umesema wewe, kuna watu humu wana vitu vya uhakika vyenye ku-sound lakini huoni wakijipitisha pitisha ili watu wawaone humu.

Hivi kila mtu akiweka alichonacho humu SERVER za JF zitatosha? Acheni ulimbukeni.

Wahenga walisema "Maskini akipata makalio hulia mbwatambwata".
 
Man/Woman, Wake up!

Unaongea Kigagagigikoko, naongea kiespiranto
Huwezi nielewa, siwezi kuelewa

Hakuna kasema wewe huna kitu au wewe ni looser, WEWE UNA VITU VINGI SANA VYA MAANA, Happy?
Kana hutaki kuweka ni wewe, mie naweka.

Anayepaswa kuniuliza kama nimekula au sijala ni mke wangu au PS wangu, wewe upo upande gani hapo?

Swali lako la pili, iwe ni vitz, pikipiki au baiskeli hiyo umesema wewe, kuna watu humu wana vitu vya uhakika vyenye ku-sound lakini huoni wakijipitisha pitisha ili watu wawaone humu.

Hivi kila mtu akiweka anachonacho humu SERVER za JF zitatosha? Acheni ulimbukeni.

Wahenga walisema "Maskini akipata makalio hulia mbwatambwata".
 
He he he, ni handsome mno

Nilirukaje na bazee langu na wig ili anione?
But nehi

Hahaha nilikutana na corolla flani na hii BAK, nikataka kuipiga picha ila nilikuwa nduki balaa. Kumbe BAK ni handsome eeh, i mean ana magari kibao! Best uko juu!
 
It takes an intelligent man to crack a joke, akiwa ameamka on a wrong side of the bed
Anataka watu wote awaambukize mood yake.

Imagine, 2 balls and one stick, vinajali kitu kilipostiwa jukwaa la photo? Ingekuwa siasa je?

grafani11 your better than what you write.
 
Man/Woman, Wake up!

Unaongea Kigagagigikoko, naongea kiespiranto
Huwezi nielewa, siwezi kuelewa

Hakuna kasema wewe huna kitu au wewe ni looser, WEWE UNA VITU VINGI SANA VYA MAANA, Happy?
Kana hutaki kuweka ni wewe, mie naweka.
Mara zote nawaelewa watu wazima wenye kuongea vitu vya maana sio watoto wadogo na malimbukeni ambao siku wakila wali kwa maharage wa mkopo kwa Mangi hutoka nje ya kibanda chao bila kunawa mikono ili jirani asikie harufu harufu na asipotaka kutambua harufu yao hunusishwa puani kwa nguvu.
 
Ha ha ha, mtu mzima unayejali MJINGA ANAYETANGAZA ALICHONUNUA? No wonder wazima wa sasa na watoto hawajulikani.

Another virgin in a maternity ward.

Labda nikusahihishe lugha kidogo naona imekupiga chenga:
Hata siku moja mwerevu hamjali mjinga, bali huupatiliza ujinga wake ili amrejeshe kwenye mstari.

Enzi zetu hatukuwaacha watoto wajinga na mambumbumbu wa heshima wafanye ujinga wao njiani bila kuwaonya, na hata ukilia ukifika nyumbani unaongezewa na mzazi.
 
Kuwa kwenye mazingira ya kukutana na wajinga tu ili kuupatiliza tu ujinga nao ni ujinga. Tangu lini ukute ABOTT inauzwa Tandale sokoni? SIze ya kule magazeti ya udaku ambayo yote ni wale wale tu.

Red: Umenena vyema, enzi ZENU, sio ZANGU.

Kama ni wa Tandale ndiyo maana unashobokea vitu vidogo vidogo kama hivyo, endelea kusoma udaku maana ndiyo size yako.

Siku zote wa Ikulu atatolea mifano vitu vya either Magogoni or around Posta and nothing else.
 
Ha ha, uko worse kuliko Tandale

Ndio maana umeumia/jali sana range kuwekwa humu
Unatamani watu wajue na watambue una kikubwa kuliko hiki
Roho ya kimaskini sana, tena kwa mwanamme IT'S A SHAME!

Back
Top Bottom