BAK, uko Juu, ila Uwe unatoa na lift!!!

BAK, uko Juu, ila Uwe unatoa na lift!!!

Hahaha unakuwa na kitu cha discovery 4, ukiua booster khabari ya tzs milioni tano plus zinakuhusu. Ukienda club unatamani gari uingie nayo mfukoni. Aaah ukiwa na mkweche hata usipoufunga unaukuta tu.

Ila best lift basi walau siku moja tuoshe macho. FP fanya makaratee ya kingoni bwana tumchune huyu baba lifti na tupate picha za kumbukumbu lol
best hujaona hapo juu kakiri hapana chezeya watoto wa kingoni? unafikiri anaweza kukiri hivi hivi tu?
usiwe na hofu wala nini.....
kuna sehemu alinipa mtoko fathers day..... tutafanya yale ya watu wa naniliu, niende nawe angalau kwa dakika 2 tu upate picha ya ukumbusho.........
Ila si unajua masharti ya kupanda gari kama hili? kama hujapendeza hatutakuchukua, kwa hiyo itabidi uvunje kabati hiyo siku
stay tuned
 
Nimeacha hizi za kuazima, ukute wametengeneza cocktail (simaanishi mkia wa jogoo) na miheroin bure

Nipe ya Arusha maana ya Tarime imeadimika

Hahahaha yaani bhange ya kuazima inalewesha kuliko ya kununua. Nitafute nikugee kiduchu. Nilipoenda murutunguru kumzika prof masau nilivuna kiduchu kwa babu. Boomba afu ina mbegu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ha ha ha, mateso bila chuki ya nini?

Bora upande daladala sanasana vits, gari unapeleka service huku moyo unauma?

Na mbaya zaidi ukigongwa na mie dereva wa kampuni, hata uniue sina uwezo wa kukulipa

Hahaha unakuwa na kitu cha discovery 4, ukiua booster khabari ya tzs milioni tano plus zinakuhusu. Ukienda club unatamani gari uingie nayo mfukoni. Aaah ukiwa na mkweche hata usipoufunga unaukuta tu.

Ila best lift basi walau siku moja tuoshe macho. FP fanya makaratee ya kingoni bwana tumchune huyu baba lifti na tupate picha za kumbukumbu lol
 
Ukiwa na mkweche raha kweli. Huwazi shock up wala taa zako. Gari nzuri ni stress tupu, hadi mtu alieko nyuma akikusogelea unatamani umwambie 'angalia usinigonge taa manake bei mtihani' lol. Ila mkweche unauachia tu hata mahandaki unaparamia.

There is something good about just everything and everyone!
King'asti umenimaliza mabvu zangu aaah, nimecheka sana wacha na mie kesho nije mjini na ule mkweche wangu nilioufungia gereji ntapunguza stress za kuangalia nani yuko nyuma ya gari langu anafanya nn ikikatiza bodaboda mbele yangu tuu mkojo unanibana maana nawaza akibwatua taa tuu nimekwisha looh, kumbe kuendesha mkweche raha asante sana kwa kunifurahisha King'asti looh.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu humu jamvini wako karakchabo, yaani unaweza kuwa umeweka post meaning soothening ur and others pple's mind cha ajabu watatokea watu huko walikotokea wakutibue tuu bila hata kupata maana au kuelewa ulikuwa unamaanisha nn. Na hata ukijaribu muelewesha mtu wa hv bado atakuwa difficult tuu.
Dawa ni kuwapotezea tuu unawafungia milango, unaweka tinted ya miwani, gari unawasha a/c, unalock milango yote na humtizami hata na taa zikiwaka unamuachia moshi kama sio vumbi.

Jioni njema pplez!!
 
Heh, una matatizo tena makubwa kuliko nilivyofikiri

SIkujua kama uko kwa ajili ya matangazo, na nikishobokea wengine elfu moja usidhani nashobokea wote. Hata umiliki mbingu na ardhi, huna AKILI ya kunifanya nikushobokee. Umeumiaaa kuposti hiyo pic, unadhani wengine waliokomenti hapa hawana vikubwa zaidi ya hii range?

Na kujibizana na mtu aliyevua wote mko uchi tu. Nilikuwa nakuona wa maana siku zote, kumbe hata huwezi tofautisha vitu serious na vya kupoyeza muda? You call urself a man wa kushobokewa? My foot!

Narudia tena, una roho ya kimaskini sana, sikutegemea.
Sidhani kama kuna tajiri anashobokea vitu vidogo vidogo kama hivyo. Kama roho ya kimaskini unayoiongelea imeota mizizi mlangoni mwako usifikiri kila mtu anayo.

Nilikuwa nafikiri naongea na mtu mwenye fikra pevu kumbe naongea na Ohio street.
 
Hivi unaposema tajiri hashobokei manake nini? Unaongelea purchasing power? Manake binafsi nashobokea pilau japo i can afford to eat it daily and i dont! Mfano mdogo tu nimetoa. Why are you missing all the fun dude?

Ulikuwa usingizini ndiyo unaamka saa hii, kwani hapa tunaongelea nini mpaka wewe ulete mada ya pilau. Anza page 1-4 ya uzi huu utaelewa kinachoongelewa hapa.
 
I will ask you this again, slowly. Try to concentrate...

Why do you choose to miss all the fun?

Wewe umesoma pg 1 to 4? Naomba samare basi. Afu nna hamu ya pilau, kwenu whats for lunch?

That has nothing to do with fun but just correcting someones mind.

Kuhusu summary ngoja walioanza mwanzo wachangie halafu wewe utaeleweshwa baadaye.
 
Hahahaha. Na kwa nini unajisikia kama unawajibika kuwarekebisha wengine? You think you are perfect?
Haya nangojea kusamaraiziwa hapa boss.

Ha ha ha, kupata ukubwani tabu sana

Lakini waliokuwa wanaogopa Babu Sambeke asije akaiba Ford yao utotoni, hii sred si ishu hata kidogo

Hahahaha. Na kwa nini unajisikia kama unawajibika kuwarekebisha wengine? You think you are perfect?
Haya nangojea kusamaraiziwa hapa boss.
 
Okay, kumbe wewe naye unajiuza? Kwa mtu ambaye hajiuzi hawezi kuwaza Ohio

Kumbe ujumbe ni 'wewe ni tajiri ndio maana hushoboki?' Hongera
Roho ya kimaskini ni kudhani watu wanakuringishia the obvious au basic needs. Very low for a man.

Sidhani kama kuna tajiri anashobokea vitu vidogo vidogo kama hivyo. Kama roho ya kimaskini unayoiongelea imeota mizizi mlangoni mwako usifikiri kila mtu anayo.

Nilikuwa nafikiri naongea na mtu mwenye fikra pevu kumbe naongea na Ohio street.
 
Okay, kumbe wewe naye unajiuza? Kwa mtu ambaye hajiuzi hawezi kuwaza Ohio

Kumbe ujumbe ni 'wewe ni tajiri ndio maana hushoboki?' Hongera
Roho ya kimaskini ni kudhani watu wanakuringishia the obvious au basic needs. Very low for a man.
Kongosho or whatever you call yourself, umekuwa muungwana kidogo kwa kukiri kuwa wewe kweli ni member wa Ohio street, labda nikukumbushe tu maana naona umemsahau hata yule aliyekuopoa mara ya mwisho. Hata hivyo punguza kushobokea sana wanaume ona sasa mpaka umenisahau pamoja na kukugegeda usiku mzima.
 
Duh! Nani kakiri hapa anagegeda Ohio? Hivi ukiwa unaandika, unayasoma kweli kujua unataka kusema nini?
Eti wewe naye kuna mtu anakuita Mume au baba? So sad watoto hawana wasaa wa kuchagua baba, ila kwa mke kajilipua mwenyewe.

Kumbe hata ile skendo inayovuma hapa jf ya wewe kufumaniwa inaweza kuwa kweli? He he, akilia Yalah, limempata.

Kongosho si uwekage na ila babywalker yangu bana unipaishe....lol miss u
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama kuna tajiri anashobokea vitu vidogo vidogo kama hivyo. Kama roho ya kimaskini unayoiongelea imeota mizizi mlangoni mwako usifikiri kila mtu anayo.

Nilikuwa nafikiri naongea na mtu mwenye fikra pevu kumbe naongea na Ohio street.

Okay, kumbe wewe naye unajiuza? Kwa mtu ambaye hajiuzi hawezi kuwaza Ohio

Kumbe ujumbe ni 'wewe ni tajiri ndio maana hushoboki?' Hongera
Roho ya kimaskini ni kudhani watu wanakuringishia the obvious au basic needs. Very low for a man.

Duh! Nani kakiri hapa anagegeda Ohio? Hivi ukiwa unaandika, unayasoma kweli kujua unataka kusema nini?
Eti wewe naye kuna mtu anakuita Mume au baba? So sad watoto hawana wasaa wa kuchagua baba, ila kwa mke kajilipua mwenyewe.

Kumbe hata ile skendo inayovuma hapa jf ya wewe kufumaniwa inaweza kuwa kweli? He he, akilia Yalah, limempata.
Nafikiri wenye akili hapo kwenye "red colour" watakuwa wamepata jibu la nani huwa hasomi anachokiandika. Mbona nilipoongelea Tandale hukusema kitu lakini nilipoongelea Ohio ulishtuka sana na kuanza kusema mambo ya kujiuza? Nani alisema kila mtu aliyepo Ohio anajiuza, mbona hata Mabenki na Movenpick yapo hapo hapo au nao wanaoenda mitaa hiyo wanajiuza?

Ama kweli kimjazacho mtu moyoni ndicho kimtokacho, ahsante kwa kunielewesha zaidi ulivyo na wengine watakuwa wamekupata pia.
 
Back
Top Bottom