Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 159
Kinachouma ni kwamba,hata matumizi yao yakifanyiwa Auditing ripoti yake haiweki hadharani.
Kila Mwaka wanaongezewa Bajeti,Ni upuuzi mtupu wakti usalama wa nchi haungaliwi ipasavyo.
1.Karamagi na Lowassa Wameliaibisha Taifa na kuliibia kwa nkunyonya pesa ya RDC,Mbona hao wanojiita Usalama hawajfanya chochote
2.Msolla kaiba Pesa ya SUA,mbona hawajamchunguza
3.Balali amekufa ,Mbona hawajachunguza??nani aliwaambia wampeleke Dodoma?
4.Amina Chifupa alikuwa kwa kifo cha kutatananisha,walikuwa wapi kutupatia taarifa??
5.Usalama wa Taifa hawa ndiyo KAGODA,
Usalama usalama,Hatuhitaji Usalama Wa Taifa tena kama hawatajibu maswali yangu...Am so angry.