Bajeti ya Serikali 2008/09 - Exclusive Thread

Unadhani nani anafidia misamaha ya kodi ya hawa wenye madini,wewe ndiyo inabidi usome vizuri.Huu ni mmoja ya usanii wa maandishi wa serikali hii.

kama hawalipi Kodi katika Mafuta ambayo siye tunalipia kwa bei ya juu,nani anafidia ??

Mimi ninafafanua bandiko lako hapo juu, kuwa misamaha ya mashirika ya dini inalipwa na serikali, sound unashindwa ku defend hata ulichoandika mwenyewe sasa unaleta habari ya misamaha ya mafuta!
 
Mimi ninafafanua bandiko lako hapo juu, kuwa misamaha ya mashirika ya dini inalipwa na serikali, sound unashindwa ku defend hata ulichoandika mwenyewe sasa unaleta habari ya misamaha ya mafuta!

unalolisema naalijua,ila kwa taarifa yako Makumpuni ya MAdini kwa mafuta wanayoyatumia,hawayalipiii kodi.kila kitu wanachotumia hawatozwi kodi
 
Inawezekana hata gharama zimepanda kwa wao,ili kukabili mfumuko inabidi na wao waongezewe..
 
Usalama wa taifa kwanza inabidi bajeti yao iongezwe ili wawakomeshe wale wanaopinga maendeleo ya nchi kina Mwanakijiji, Mwafrika wa kike (sijui kaenda wapi huyu) na wengine wote.

Hongera RO kwa kazi nzuri ya kulinda amani na usalama wa nchi. Kidumu chama cha mapinduzi.
 
The same shit in his head thinking he has got brain ? Unaatia kinyaa wewe mpuuzi na ugonjwa wako wa amani na kudhani Tanzania ni ya CCM .
 
The same shit in his head thinking he has got brain ? Unaatia kinyaa wewe mpuuzi na ugonjwa wako wa amani na kudhani Tanzania ni ya CCM .

sasa bila amani ambayo imeletwa na ccm kuna lolote lile litafanyika? watu mmekalia tu mara mkapa kaiba, mara kikwete kaiba bot kupata uraisi bila kujali kuwa ccm inatunza amani ya nchi. hicho ni muhimu kukisema hapa.
 
Inawezekana hata gharama zimepanda kwa wao,ili kukabili mfumuko inabidi na wao waongezewe..

ni kweli, gharama za kulinda usalama wa nchi zimeongezeka maana sasa hivi watu wanatumia mitandao kueneza habari zao za chuki dhidi ya serikali ya ccm na viongozi wake. Inabidi usalama wa taifa waongezewe pesa ili waweze kupambana vizuri na wapinzani ambao hawaitakii Tanzania mema. Upo hapo?
 
kazi za usalama wa taifa

-Kuhakikisha kwamba viongo wa TA Ughaibuni ni wale wanao kiunga mkono chama cha CCM.Mfano mzuri we all know what happened in London na Usalama walishiriki moja kwa moja kuhakikisha watu ambao si wana CCM wanapigwa chini .
-Kuwakamata wapemba kwa kutoa mawazo yao .
-Kuhakikisja CCM wanapitisha kwao pesa za kuhonga na kushinda uchaguzi
-Kuiba kura
-Kuzuia sauti za wananchi kusema ukweli
-Kuhakikisha Sinclair na wezi wenzake wanaiba kwa amani bila kuhojiwa
-Kushiriki uuazaji wa Nchi
-Kuwakamata wana JF kila wakijarubu jambo
-Kula mikakati ya kuwaumiza wapinzani

Mengine mtaendelea nayo wenyewe

Source please ??
 
usalama wa taifa letu lazima upewe kipao mbele na wanastahili nyongeza hizo.

cha kusisitiza si kupunguza pesa bali wawajibike na waende na wakati hilo ndio la msingi.

huu si usalama wa ccm wala si dhidi ya upinzani tuache ujinga na upumbavu wa kitoto
 
mtu wa pwani, uliyosema ni sahihi kabisa, na ndio maana nimemuomba mheshimiwa Lunyungu atuletee source ya hayo aliyosema kwamba ndio kazi ya usalama wa taifa !
 
ni kweli, gharama za kulinda usalama wa nchi zimeongezeka maana sasa hivi watu wanatumia mitandao kueneza habari zao za chuki dhidi ya serikali ya ccm na viongozi wake. Inabidi usalama wa taifa waongezewe pesa ili waweze kupambana vizuri na wapinzani ambao hawaitakii Tanzania mema. Upo hapo?

Kumbe ndiyo maana uko hapa, eh?
 
Kuna kazi kweli,...I would love to throw my two cents kwenye hii issue lakini naona mjadala iumeshaelekea kwenye upenzi wa vyama...so nitakaa pembezoni na kutizama..Ila kwa kifupi sio hela zote ziko wazi, I.e zile za Black Ops kwenye nchi jirani and so forth.
 
unalolisema naalijua,ila kwa taarifa yako Makumpuni ya MAdini kwa mafuta wanayoyatumia,hawayalipiii kodi.kila kitu wanachotumia hawatozwi kodi

Thats good spirit.... bishana mpaka ufe! Umeanzisha thread na umeweka quotation kwa mbwembwe kuwa serikali yaamua "kuwalipia" kodi makampuni ya madini, cha ajabu as we go on na mjadala kidogo kidogo unatoka kwenye mada ulioianzisha mwenyewe.

Nilicho jaribu ( bila mafanikio?) ni kukufahamisha kuwa hilo bandiko lako lisome vizuri "yanayolipiwa" kodi na serikali ni mashirika ya dini hao wengine wana pewa msamaha tu...

Labda tu nikukumbushe ( if it will help ) kichwa cha habari ni "Bajeti 2008/9 Serikali yaamua kuyalipia kodi makampuni ya madini" sasa hii habari ya kuwa makampuni ya madini hayalipi kodi ya mafuta ni sahihi lakini sio mada tunayoi jadili hapa.

Mheshimiwa upo hapo?
 
Kumbe ndiyo maana uko hapa, eh?

jasusi, sio suala la mimi kuwa hapa, kinachoongelewa hapa ni suala la usalama wa taifa kuongezewa bajeti. Mimi naunga mkono usalama wa taifa kuongezewa bajeti ili waweze kudhibiti watu wanaotishia usalama wa nchi kama baadhi ya members hapa (unataka nikupe majina?) na kupambana na wapinzani wana chadema na wana cuf ambao wanatishia usalama wa nchi.
 
Wapo kwa ajili ya kuhakikisha ccm inapata ushindi, na kuhakikisha hakuna mtu wa kutetea maovu ya viongozi wetu.
 
jasusi, sio suala la mimi kuwa hapa, kinachoongelewa hapa ni suala la usalama wa taifa kuongezewa bajeti. Mimi naunga mkono usalama wa taifa kuongezewa bajeti ili waweze kudhibiti watu wanaotishia usalama wa nchi kama baadhi ya members hapa (unataka nikupe majina?) na kupambana na wapinzani wana chadema na wana cuf ambao wanatishia usalama wa nchi.

Mr. Masaka are you Idiot, dipstic, pochmonkey or Juggalo, ni nami katika website hii anatishia usalama kama siyo hao Usalama wa taifa kuwalinda mafisadi, na kuwateketeza watanzania kwenye dimbwi la umasikini.
Watch out your word, you need to go back to your mother & father, they will tell you the truth. Inasikitisha ni jisi gani usivyo na akili hata babu yako na miaka 102 bado anafikili vizuri kuliko wewe mwenye miaka 30.
 
Hivi hawa usalama wa taifa hasa ni nini?mbona hatuoni kazi zao?au ndio kuwa erase akina balali na chifupa na kuhakikisha ccm inashinda kwenye every election.

Cheers.

Kijana inaonekana hujui unachosema. Usalama wa taifa ni watu muhimu sana acha waongezewe pesa ili wafanye kazi vizuri.
 
Back
Top Bottom