Haaaa ungelijua Julius Malema .................nilisema uwezi kuingia Butiama kichwa kichwa bila ruksa ya wazee..unajua booo..kazi isha kwisha subilia uone wenye akili zao washamaliza unachoona ni matangazo baaada ya habari hiii habari ya Lowasa kuwa Rais wa Jamuhuri Ya Muungano Ya Tanzania SAHAU...kingereza FORGET.....msisitizo kikwetu...YASHIRAGA...NDOHO NKINU!Vuvuzela bado tuuuu!!!jana ulikuja na cd ya lowasa kwenda kwenye mazishi ya John nyerere baada ya kuona lowasa ndiye kiongozi wa juu aliyehudhuria na kupewa heshima kubwa kiitifaki na pia familia ya Mwalimu Nyerere leo mmekuja na CD mpya nawahakikishia lowasa anakua rais mchana kweupe na tayari mmeshasambaratka timu mdmu lakini silaha zilezile lowasa alizotumia kumuingiza kikwete ikulu ndizo hizohizo atakazoziongeza makali kuingia ikulu time will tell tupo....Team Membe ata mbinu mliyotumia kumtumia kinana na Mangula kusimamisha wagombea tunajua mlengwa ni lowasa ila mbinu yenu tuliijua kabla kwanini mnaogopa kupambana na lowasa uwanjani na mnatumia hujuma jibu ni kuwa anawazidi uwezo .....ukawa nao kwenye vikao vya siri mnamuofia lowasa mktoka mafchon mnakohoa facebook za watoto wakati mnajua lowasa ni kiboko yenu
Unachokisema huna uhakika nacho.Ameshindwaje kuimba nyimbo za injili, kwa sasa ana albamu nyingine inayoitwa nipe Muda, upo eheee.Pole sana.Njaa mbaya Sana huyo mchumia tumbo kashindwa kuimba injili kahamia siasa
Hicho alichoimba Bahati Bukuku it is BLASPHEMY IN CHRISTIANITY! Yaani kweli Lowassa ni sawa na mfalme Suleiman? Kweli Lowassa ni sawa na Daudi? Sitashangaa single itakayofuata Bukuku akasema kwamba Lowassa ni ni Sawa Yesu Kiristu wa Nazarreti!
Ingekuwa ni ile dini nyingine huyu Bahati Bukuku angetaziwa FATWA!
Lakini kwa kuwa huu ni ukiristu kama Malisa alivyosema, funzo tunalopata Watanzania ni kutambua kwamba huyu Bahati Bukuku ni Changudoa wa kiroho!
Inawezekana ni mtoto kiroho hata kama mwimbaji.
Nadhani hapa tatizo siyo Lowasa kutungiwa wimbo bali kiimani amefanya kufuru dhidi ya imani yake. Angeweza kumpamba vyovyote atakavyo lakini asiitumie biblia kupotosha mafundisho ya Mungu.
Kamwe hakuna mwanadamu wa sasa na wengine ambao watakuja ambaye hekima yake itamfikia mfalme Sulemani (Haya ni maneno ya Mungu). Mkristo yeyote mwenye imani na aliyesimama katika ukristo alistahili kulitambua hili. Kumlinganisha Lowasa na Mfalme Sulemani ni kuikejeli imani yenyewe.
Alichokifanya siyo sahihi kabisa.Lakini ndivyo waimbaji wengi wa nyimbo za Injili walivyo kwa hivi sasa.Unaweza kuwaalika hata kwenye uzinduzi wa kilevi nao watatia mguu bila hata soni,pesa mbele kama kitambi na utukufu kwao siyo jambo la maana.wengine shoo zao wanakatika kama mr. Nice eti nao wanamsifu Mungu.Shame on you.Mimi pia ni Mkristo lakini pia ni mwanafalsafa.
Nadhani hapa tatizo siyo Lowasa kutungiwa wimbo bali kiimani amefanya kufuru dhidi ya imani yake. Angeweza kumpamba vyovyote atakavyo lakini asiitumie biblia kupotosha mafundisho ya Mungu.
Kamwe hakuna mwanadamu wa sasa na wengine ambao watakuja ambaye hekima yake itamfikia mfalme Sulemani (Haya ni maneno ya Mungu). Mkristo yeyote mwenye imani na aliyesimama katika ukristo alistahili kulitambua hili. Kumlinganisha Lowasa na Mfalme Sulemani ni kuikejeli imani yenyewe.
Nakubaliana na wewe kabisa mkubwa.Tusichanganye Mada/mambo.
Mungu ni Mungu na anabaki kuwa Mungu.
Na kama anataka kumsifia mtu yeyote kwa sauti yake si vibaya ila maudhui yatofautishwe ili sisi wengine tumwelewe.
kila mtu ana uhuru wa kupenda na kushabikia chama au kiongozi anayetaka ili mradi havunji sheria tuache kulazimishana kuamini unachoamini kuwa ndiyo suruhisho la matatizo yetu
Kwani hadi sasa Bahati Bukuku hajulikani? Mipaka gani? Ni nani aliyekuambia kama umamwimbia Mungu haruhusiwi kuimba nyimbo za kidunia hata kumsifia binadamu mwenzako? Tafakari kwanza kabla ya kulaumu.Umenena vyema, tamaa ya pesa na kutaka kujulikana ili kujipatia umaarufu ndio tatizo linalowasumbua waimbaji wengi wa injili, hawaangalii mazingira ya huduma na mipaka yake....tuwaombee sana!