Ndugu yangu, nyimbo ni uwingi hivyo unapaswa kuandika kawimbo, sio kanyimbo.Na hamu nikasikie hako kanyimbooo mwenye nacho basi
aseee! kweli njaa hana baunsa hata bahat bukuku?
Ndugu yangu, nyimbo ni uwingi hivyo unapaswa kuandika kawimbo, sio kanyimbo.
Kwa jinsi inavyoonekana anao baadhi ya maadui wanaowinda roho yake walimwibia na kuurusha kwenye mitandao ya kijamii.
Anajikomba tu huyo kwa Lowasa ili aambulie walau hata viti maalumu.