Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

Ulitaka akuimbie wewe!! Kama hutaki sisi tunaenda na Lowasa.
 
Huu Wimbo Nimeusikia Muda Si Mrefu Jinsi Anavomsifia Lowasa Lakini Sijajua Nianze Kusema Nini
Ni Lowasa Anamjua Sana Mungu

Maana Nimesikia Akisema Lowasa Atatawala Kwa Amani, Lowasa Amepakwa Mafuta, Lowasa Yupo Kama Mfalme Suleimani
Udini Au Ni Njaa Tu Au Ndo Viti Maalumu

Utafuteni Muusikilize



Asije Kanisani tena.aimbie huko huko duniani
 
Ni nguvu ya pesa hiyo inapenya hata kwa wachungaji na watu wa kanisa kuubiri kile wanachotaka wenye pesa na neno la Mungu linatiwa kapuni
 
Back
Top Bottom