warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,455
Naomba kujua elimu ya Bahati Bukuku maana tunaweza kumlaumu bure kumbe tatizo ni uelewa mdogo tena kama hajasimama vizuri kiroho ndio kabisa
ELimu yake ni form six
Naomba kujua elimu ya Bahati Bukuku maana tunaweza kumlaumu bure kumbe tatizo ni uelewa mdogo tena kama hajasimama vizuri kiroho ndio kabisa
Kwanza ni kuweke sawa, Mimi sina chuki na mtutu yoyote yule na siwezi mchukia Lowasa kwa kuwa sio rank wala rika langu dhambi zake na zangu sio sawa, mimi sipendi kudhulumu wala kufisadi cha mtu. Sasa nitamchukiaje mtu ambaye haturandani nae?
Na ukumbuke hayo maneno kwenye hiyo post siyo yangu ni ya
Malisa Godlisten ila mimi nimeyapa uzito kwakuwa nimeona kuna haja ya kufanya hivyo.
Elewa Bahati Bukuku alikuwa akimwimbia na kumsifu Mungu, leo amegeuka na kuanza kumwimbia na kumsifu binadamu. Huoni kuwa hapo kuna dalilio zote za bahasha kupita?
Da! Maneno makali sana lakini yanaujumbe.Changudoa wa kiroho,hii haijakaa vizuri
mpuuzimwewe umeshapewa mlungula na Lowasa ndo maana unatetea upuuzi humu, wewe na bukuku njaa zenu zitawaua mwaka huu.Mkuu naona umeuzwa sana,mbona wewe ni mfuasi wa Gr.Slaa ambae ni padre mstaafu lakini hatuchukii? Mwache mtumishi wangu aoneshe mapenzi yake kwa mtu ambae maono yake yanaona anafaa kuliko wa kwako.Mimi namuunga Mkono Bahati Bukuku na aendeleee kumtungia nyimbo nyingi ili wenye chuki kama wewe muendelee kuumia na mtashindwa tu.
Malisa, Waislam uwa hawana utaratibu wa kutungiwa nyimbo usitake kufananisha vitu ambavyo avifanani.
Alichofanya huyo dada kuimba imani yake inamruhusu hata wewe unaweza kumjibu kwa kuimba kumsifia yeyote.
Wala hapo hamna udini hakuna Muislam ambaye analalamika mgombea urais akitungiwa nyimbo za kwaya huyu dada siyo wa kwanza marehemu Komba kawatungia wengi tu nyimbo za kwaya ulikiwa wapi kulalamika.
ushapewa hongo wewe na Lowasa ndo maana unatetea lifisadi hiloKuzuia mafuriko kwa mikono haiwezekani...mwacheni Lowassa ang'ae.Mwisho wa siku wananchi tutapima.
Bahati Bukuku kumbe ni tapeli na kibaka kama matapeli wengine tu huku watu tunajidanganya eti tunasikiliza ujumbe wa Mungu kupitia nyimbo zake kumbe Mungu mwenyewe ni Lowasa!!.Huu wimbo umeniudhi saana.Namwomba Mungu wangu aishie juu mbinguni asikae kimya kwa kufuru hii aliyoifanya huyu changudoa wa kiroho(kama ilivyotumika kwenye uzi) bali ampe fundisho kama alivyofanya kwa watangulizi wake kama Nebkadreza aliyefanywa mnyama na akala majani kwa muda wa miaka saba.
ushapewa hongo wewe na Lowasa ndo maana unatetea lifisadi hilo
Mbona hajaimba kumsifia yule mchepuko wake yule baba askofu...........