Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

Nimependa hii "changudoa wa kiroho"
Si neno zuri lakini pale unapona dhihaka dhidi ya ukuu wa Mungu ukifanywa na Mtumishiwa Mungu basi si haba kufikisha ujumbe kama huu...kwa kuwa alisema Upole kiasi.
 
11059652_835990166492677_7522716275738120309_n.jpg


3. Bukuku anasema Lowassa ana hekima kama Suleimani. Hii ni kufuru kubwa kwa Mungu. Maandiko yanasema hakuwahi kutokea mtu mwenye hekima kama Suleimani na hatatokea. Sasa Bukuku kamtoa wapi Lowassa? Ina maana Bukuku ana akili kuliko Mungu aliyeruhusu maandiko hayo?

4. Bukuku anasema Lowassa amepakwa mafuta kama Daudi. Maandiko yanasema Daudi alikuwa Mteule wa Mungu na alipakwa mafuta na Kuhani mkuu Samuel. Kujaribu kumfananisha Lowassa na Daudi ni makosa makubwa. Ni Kuhani gani amempaka mafuta Lowassa? Labda Kuhani Yusuph Makamba.. Na alimpaka mafuta gani? Ya Alizeti au Baby Care.!

Hicho alichoimba Bahati Bukuku it is BLASPHEMY IN CHRISTIANITY! Yaani kweli Lowassa ni sawa na mfalme Suleiman? Kweli Lowassa ni sawa na Daudi? Sitashangaa single itakayofuata Bukuku akasema kwamba Lowassa ni ni Sawa Yesu Kiristu wa Nazarreti!

Ingekuwa ni ile dini nyingine huyu Bahati Bukuku angetaziwa FATWA!

Lakini kwa kuwa huu ni ukiristu kama Malisa alivyosema, funzo tunalopata Watanzania ni kutambua kwamba huyu Bahati Bukuku ni Changudoa wa kiroho!
 
Nimeipenda ile ya Bukk kuwa changudoa wa kiroho, kweli hela ilimuuja naabii issa, hawa mafala wa sanaa za tanzania nilishasema ni shiidaaa bado utasiki diamond au ney kamuimba na kumsifu mwanasiasa haramu mwizi
 
kuimba kwa bahati bukuku ni sehemu ya kumtukuza mungu lakini pia ni kazi. Kama mtu kamuajili kumtungia wimbo wa kampeni na kumpa fedha ulitaka atunge wimbo wa kumtukana kwa vile tu unamchukia lowasa? Kwa habari ya udini si kweli maana tumeshuhudia wachungaji na mashekhe wakienda kwa lowasa kumuomba atie nia sijui wewe ulikuwa wapi! Kwa chuki hii mtasababisha mungu anampa lowasa urais hata kama hastahili! Bukuku huu ni mwaka wa kupiga hela.
haya aliyoyaimba bahati bukuku hayana tofauti na machangudoa,yes ni kweli na mimi nakubaliana kabisa kuwa neno la bwana ni taa yeti lakini kwa huyu mwanamke ni changudoa na msaaliti mithili ya yuda eskalioti....

**kalaaniwa b.bukuku!
 
Hivi watu mbona mnapenda kuhukumu?
Hayo majina yote mliyomuita Bukuku ni kwa ajili ya huo wimbo tu,japo siujui!?
Acheni ni maisha yake,km kakufuru Mungu wetu hujipigania,hapiganiwi,hatetewi!!
Mungu ndo mwenye kuhukumu sio nyie!
 
Sisi Wa Afrika tuna matatizo sana, angeimbwa Dr Slaa, Kikwete au yeyote tunayempenda hungesikia maneno ya Kashfa.

Who is Sambai and Malisa any way? just a normal human beings.
 
Mkuu naona umeuzwa sana,mbona wewe ni mfuasi wa Gr.Slaa ambae ni padre mstaafu lakini hatuchukii? Mwache mtumishi wangu aoneshe mapenzi yake kwa mtu ambae maono yake yanaona anafaa kuliko wa kwako.Mimi namuunga Mkono Bahati Bukuku na aendeleee kumtungia nyimbo nyingi ili wenye chuki kama wewe muendelee kuumia na mtashindwa tu.
mleta mada aache wehu angemsfia Josephine au silaha angefurahi na kusema silaha ni mpango wa Mungu sasa nawaaambia Lowasa ni mpango wa Mungu midimu na chadema wasiojitambua kama mleta mada muda wenu wa kuchanganyikiwa umefika bado hamjajiandaa kuchukua nchi ongezeni majimbo rais ajaye ni lowasa hivi unajuaje kama roho wa Mungu amemuongoza bahati bukuku kutoa huo wimbo ....usiukumu kwa sababu umeamka asubuhi huna ch kufanya unashnda facebook......Ma Presdent is lowasa ata agombee kuptia familia yake nampa kura yangu...namuombea kura elfu moja na nampgia kampeni na nahudhuria sherehe zake za kuapishwa
 
Hicho alichoimba Bahati Bukuku it is BLASPHEMY IN CHRISTIANITY! Yaani kweli Lowassa ni sawa na mfalme Suleiman? Kweli Lowassa ni sawa na Daudi? Sitashangaa single itakayofuata Bukuku akasema kwamba Lowassa ni ni Sawa Yesu Kiristu wa Nazarreti!

Ingekuwa ni ile dini nyingine huyu Bahati Bukuku angetaziwa FATWA!

Lakini kwa kuwa huu ni ukiristu kama Malisa alivyosema, funzo tunalopata Watanzania ni kutambua kwamba huyu Bahati Bukuku ni Changudoa wa kiroho!

Well said mkuu.

Na hapa ndipo ninaona mantiki ya kwanini waislamu wanapigania kuwa na mahakama yao.

Nafikiri ni wakati muhafaka kwa wakristo kuanza kufikiria na sisi tuwe na mahakama yetu. Ila wapuuziii, wajingaa hawa waliyokula sijui maharage ya wapi vile waweze kupatiwa haki yao.
 
Tatizo la wasanii wengi hawajasoma shule. Angejiuliza kabla ya kutunga hiyo nyimbo. Ni mpuuzi tu atakayekubali kuwa Lowasa ni kama Daudi au Mfalme Suleiman.
 
Sisi Wa Afrika tuna matatizo sana, angeimbwa Dr Slaa, Kikwete au yeyote tunayempenda hungesikia maneno ya Kashfa.

Who is Sambai and Malisa any way? just a normal human beings.

Wewe jadili hoja, sio kutaka kunijua au kumjua Malisa.

Kama ulizoeya kuishi kwa pesa haramu basi jiandae kisaikolojia kwa mwisho umefika. Ila kwa ushauri tafuta kazi ya kufanya na uache kuishi kwa kutegemea kulipwa ili kumsifia mtu
.
 
Malisa, Waislam uwa hawana utaratibu wa kutungiwa nyimbo usitake kufananisha vitu ambavyo avifanani.

Alichofanya huyo dada kuimba imani yake inamruhusu hata wewe unaweza kumjibu kwa kuimba kumsifia yeyote.

Wala hapo hamna udini hakuna Muislam ambaye analalamika mgombea urais akitungiwa nyimbo za kwaya huyu dada siyo wa kwanza marehemu Komba kawatungia wengi tu nyimbo za kwaya ulikiwa wapi kulalamika.
Ritz, umeondoka kwa Membe na kujiunga kwa Lowasa? Unajua kucheza karata mkuu...ila kuna siku utakula Galasa!!!
 
Last edited by a moderator:
Si neno zuri lakini pale unapona dhihaka dhidi ya ukuu wa Mungu ukifanywa na Mtumishiwa Mungu basi si haba kufikisha ujumbe kama huu...kwa kuwa alisema Upole kiasi.
jana ulikuja na cd ya lowasa kwenda kwenye mazishi ya John nyerere baada ya kuona lowasa ndiye kiongozi wa juu aliyehudhuria na kupewa heshima kubwa kiitifaki na pia familia ya Mwalimu Nyerere leo mmekuja na CD mpya nawahakikishia lowasa anakua rais mchana kweupe na tayari mmeshasambaratka timu mdmu lakini silaha zilezile lowasa alizotumia kumuingiza kikwete ikulu ndizo hizohizo atakazoziongeza makali kuingia ikulu time will tell tupo....Team Membe ata mbinu mliyotumia kumtumia kinana na Mangula kusimamisha wagombea tunajua mlengwa ni lowasa ila mbinu yenu tuliijua kabla kwanini mnaogopa kupambana na lowasa uwanjani na mnatumia hujuma jibu ni kuwa anawazidi uwezo .....ukawa nao kwenye vikao vya siri mnamuofia lowasa mktoka mafchon mnakohoa facebook za watoto wakati mnajua lowasa ni kiboko yenu
 
Mbona Edward Sambai unahangaika sana na jambo lisilo kuhusu? Kila mtu ana haki ya kufanya jambo lolote lile bila kuvunja sharia.Sasa dada yetu Bahati Bukuku kaamua kwa moyo safi kabisa kumtungiwa wimbo murua Mh.Edward Ngoyai Lowasa akimsifia kwa mazuri yote anayoyafanya kwa jamii yetu ya watanzania lakini wewe hii inakuuma saaaana kwanini? Au ulitaka amuimbie nani? Mwacheni Bahati Bukuku atimize kile nfsi yake imemtuma afanye.Mbona nyie mnafurahia sana Kakobe kuiunga mkono Chadema?Sisi watanzania wapenda amani na wenye mapenzi mema nchi yetu tumefurahshwa sana na mtumishi wa Mungu kuona na kutambua mchango mkubwa unaofanywa na Mh.LOWASA.MUNGU MPE ULINZI WA KUTOSHA MAANA WENYE WIVU NA CHUKI NI WENGI SANA.
 
Hahahahaha tusiwe wepesi wa kusahau kua Bukuku kwenye uzinduzi wa moja ya kazi zake alimualika jamaa..... she is paying back, nadhani ilikua ni 10m
 
Ritz, umeondoka kwa Membe na kujiunga kwa Lowasa? Unajua kucheza karata mkuu...ila kuna siku utakula Galasa!!!
Inaonekana unamjua Ritz kuzidi mke wake.
 
Last edited by a moderator:
Edward Sambai, hebu tuwekee link ya huo wimbo au heading yake tupate kuulewa na wengine. Tunaojua maana ya "organised religions" hatushangai alichofanya Bahati Bukuku wala walichofanya "Mshehe" wa Pwani wala anachofanya Gwajima, maana dini za dunia hii nyingi ni za "kishetani" na zinaendeshwa kwa misingi hiyo , na huwezi kuzitenga na siasa za dunia. Soma Ufunuo wa Yohana kuhusu makanisa, na jinsi Mungu anavyoyaelewa. nitakuwekea sura husika nikipata muda, na baada ya hapo hutahangaika na Bahati Bukuku tena, maana utakuwa umejua anatumikia "kanisa" lipi. Nabii Issa Bin Mariam, Yesu Kristo, alionya juu ya haya unayo yashangaa, na alisema "MTAWAJUA kwa MATENDO yao, na si kwa kujiita wana wa Mungu". Mwenye Masikio na asikie haya ayanenayo YEYE aliyejuu.....!


 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom