Ziko sehemu mbili. Kuna Bermuda triangle, na dragon's triangle. Bermuda triangle iko kati ya kisiwa cha bermuda ,mji wa Miami ,na San Juan Puerto Rico. Dragon's triangle, iko kati ya mji wa Tokyo, pwani ya kisiwa cha Philippines, na kisiwa cha Wake. Triangle hizi ziko katika 30 degree latitude, maana yake ukiwa Bermuda triangle, upande wa pili wake wa pili wa dunia iko dragon's triangle. Kati ya triangle hizi, dragon's triangle ni mbaya zaidi ya bermuda , tena ni pans zaidi ya ile ya Bermuda, na vile vile huwa inapanuka na kupungua. Inapopanuka huelekea mpaka pwani ya China kuelekea Vietnam. Kumbuka ile ndege ya Malaysia Boeing 737 iliyopotea ikielekea China. Hiyo iliingia katika dragon's triangle.