Nitakutafuta Mshana Jr!Bado sijarejea nipate kwa +256788597559
Nitaingia you tube baadae niangalie hii k2!Kuna Kipindi kinaitwa "Paranormal witness", walikuwa wanaonyesha jinsi baadhi ya mizimu/mashetani yanavyowasumbua baadhi ya watu kwenye nyumba walizo hamia. Kali ya zote ni pale mama mwenye nyumba alivyo report kwamba anaona vitu vya ajabu ajabu nyumbani kwake ,mara vyombo vinavunjwa, etc. Sasa waandishi wa habari wakaja na kamera zao kucheki na kurecord. Lile li mzimu liliwa attack live aisee. Hichi kipindi kilikuwaga kina onyeshwa na Quest TV hapa UK. Na issue hizo zilikuwa zinatokea US nadhani hata youtube wana upload story
Naomba tuwasiliane baadae Mkuu unipe elimu!Niko bongo sasa hiyo namba hutanipata tena
Tatizo watu wanapost kwa reference chache, sisi tumerithishwa so we actNimeuliza hapo juu ,kajibu simpo tu
Mmh hebu umalizie hapa tafadhaliBaharini kuna MASHETANI na MIZIMU mikubwa tena ogopa sana visiwa vidogodogo ambavyo watu hawaishi, aiseeh! umenikumbusha mkasa mmoja ulio nipata mimi na wenzangu sita tulipotea baharini muda wa siku tano,
tuliondoka na MASHUA inayo tumia upepo kutoka kijiji cha KIGOMBE tukielekea MKOKOTONI ZANZIBAR amini tupo mkondo mkubwa wa bahari upepo ukakata siku nne nzima hakuna upepo hata kidogo MASHUA ikakokotwa na maji tukapotea ajabu ni kwamba ukiona chombo kingine cha upepo ukikifuata kinapotea huu mkasa ni mrefu nikipata nafasi nitakuja elezea kwa kina.
Pale Nungwi ni mkondo wa maji ya mto Pangani na makutano ya baadhi mito, kuna mikondo inayosababisha uvutano chini ya bahariNungwi kuna mkondo unaofanana na wa Bermuda hizo ni njia za kuelekea kuzimu kwenye ufalme wa giza
Nungwi kuna mkondo unaofanana na wa Bermuda hizo ni njia za kuelekea kuzimu kwenye ufalme wa giza
Sasa hata akianguka utapata wapi habari zake boss!??..Ndio maana huwezi kusikia hata siku moja eti mchawi kaanguka baharini au kuna chombo kinachotumiwa na wachawi kusafiria baharini.
Bila shaka nawewe ni mmja wao mkuuuUle unaogopeka kwakuwa una nguvu sana na mara nyingi madhara yake hayana matibabu
Kunywa sumunachotaka kujua ni nawezaje kujua kama nina roho..?