Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni kwa ajili ya kuunga mkono juhudi....

Safi sana.

Ukianzisha mada kama tano kipindi hiki nitag basi nisome mapema..

Anza kutayarisha basi.. tunaitaji kuchangamsha vichwa wengine kwa kusoma hayo.
 
Hadithibya kweli kabisa. Yupo kijana mmoja ambae hadi mda huu yupo hai ila siwezi kuweka namba hapa. Ana kawaida ya kupendwa na wanawake kupita kiasi. Siku moja jioni baada ya kutoka kwenye mihangaiko yake ya kutafuta riziki akatoka kwenda kwenye matembezi. Njiani akakutana na dada wa kiarabu akamuita kwa jina lake kabisa na kusalimiana. Jamaa akaambiwa nisaidie mzigo wangu hadi nyumbani au una safari? Jamaa akamsaidia ile mizigo. Walitembea kwa dakika chache tu wakaingia ndani ni nyumba ya maana na kila kitu ndani. Alikula chakula na juice ya matunda. Baada ya muda aliaga na kusindikizwa bila kustuka, baada ya dakika chache akajikuta yupo pale pale alipokuepo mwanzo, akazunguka sana kutafute ile nyumba alotoka bila mafanikio ndio akajua kuwa amechukuliwa na jini.
 
Asante sana
Sas wanaishi chini ya bahari wana malango nayo... Sas hapo ndo tuseme shetani ana umbo ila anaweza jibadilisha badilisha atakavyo uwezo wa ajabu kam telepathic ability.. n.k..sawa..
Swali lengine sas aliens nao wapo baadhi ya jamii wanaishi chini nao wana makazi hapo sasa mfalme wa giza anamingle vip na jamii hii nyengine? [emoji41]
 
DIVINE niliishi ulimwengu wa giza na nikafanya mengi (nikisema mengi namaanisha mengi hasa)ila kwa NEEMA NIKAKOMBOLEWA KWA DAMU YA YESU KRISTO! sikufa because I was left to tell

Wengi niliokuwa nao hawapo tena duniani baadhi yao walikufa vifo vya mateso mno waliobaki wanaishi kwenye viapo na maagano vinavyowatesa mno na hawako huru kama mimi
Ukiandaa kitabu itakuwa poa zaidi
 
Naam ila ukifuata nyendo zozote za wachawi hakikisha ni mzima kweli kweli na sio kufuata kwa kuwa huamini uwepo wao, utatafuta matatizo bure.

Umenikumbusha miaka mingi kidogo iliyopita tulikuwa mahali fulani katika milki za majini mimi na baba mzaa babu, nilikuwa bado kijana mdogo na kulikuwa kuna vitu vya kimizimu vinafanyika.

Akatokea mtu mwanamume wa dini fulani na kuanza kumuandama mzee kuwa hakuna majini duniani, uchawi wala chochote hivyo pale tunapoteza muda tu, mzee alikasirika na mimi nikawa nacheka (rabda kutokana na umri wangu wakati ule)
Mzee akampaka dawa fulani kijana na kumwambia tuongozane aone dunia.

Tukaondoka na kupanda gari la abiria na yule kijana maana nae alikuwa anaelekea tunakokwenda maana tunaishi nae mtaa mmoja, njian aliambia atakachoona asishangae akasema hakuna lolote.....ghafla akamtazama dereva na kumuona yupo uchi wa mnyama huku kiunoni kumejaa mahirizi!
Akahamaki, tukashuka na kuingia katika gulio akaona mama anauza maandazi huku anapepea na mkono wa mtoto mchanga unavuja damu! Kwa kuwa ni mara yake ya kwanza alipiga kelele na kuwehuka.......mama yule akamwambia "si umeniona? Na mimi nitakuona,,
Akh! Muhimu tumuombe Mungu lakini dunia ina mengi kama asemavyo Mkuu wangu Mshana
Umenikumbusha kuna Story moja nilisimuliwaga na wadau wanasema kuna mtu alimbishia hivyo hvyo yule sheikh maarufu marehemu akafanya yake mbele ya yule mbishi likatokea boooonge la jitu bayabaya refu.. Yul mbishi akazima hapo hapo[emoji4]
 
Back
Top Bottom