Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

IMG-20170511-WA0023.jpg
 
namna yakujiunga na uchawi,unafanyaje ,nihatua gani nipitie ila nataka niwe mchawi simple sio ule mkali
 
nilisha wahi ipitia story ya belmuda triangle, hatar sana,mfano nikiitaji kujiunga nauchawi wa kupanda ungo nifate niongozo gani.
Kiapo cha kafara kwanza ndio ticket ama usajili... Please usijaribu
 
Vitu anavyokuwa akiviandika huyu jamaa mnaweza sema ni hadithi za kufikirika ila kama umepata kuishi maisha ya namna hiyo hutakuwa na shaka hata kidogo. Wengi wanaokuwa wanakuwa wanakukejeli na kukukebehi ni watoto wa kuitwa kula na kuondoka mezani. Ila kwa watafutaji na wadukuzi wa mambo haya maswala sio mageni hata kidogo. Nyumbani tuliwahi kuwa tunalindwa na MAJINI, hakuna aliekuwa anaweza kuingia nyumbani mwenye nia chafu, waliwahi kupigwa wezi nyumbani pale na mmoja ni kijana wa jirani yetu. Haya malango ya kuzimu yapo mengi tu hapa Tanzania, mfano Kisiju, ziwa Tanganyika, kuna mto Kigoma karibu na upande wa Burundi kwenye mto Malagarasi huwa kuna maji yanapanda mlima, sio kumwagika kutoka juu kwenda chini. Kuna mambo mengi sana ya ajabu ambayo ukiambiwa huwezi kuyakubali.

Meli ya mv Bukoba walioipindua mwaka 1996, huwa inaonekana mara kadhaa kwa wavuvi wanaovua ziwa Victoria na kuna jamaa niliwahi kusikia ushuhuda wake akikiri kuwa ile kazi yeye ndiye aliyewatuma vijana wake wakaifanye kabla hajaokolewa kutoka humo gizani. Ajali ya Treni ya Dodoma alishiriki moja kwa moja yeye. Vitu usivyovijua usibishe, jipe muda wa kufuatilia uufahamu ukweli ingawa sio lazima ukubali.
 
Ziko sehemu mbili. Kuna Bermuda triangle, na dragon's triangle. Bermuda triangle iko kati ya kisiwa cha bermuda ,mji wa Miami ,na San Juan Puerto Rico. Dragon's triangle, iko kati ya mji wa Tokyo, pwani ya kisiwa cha Philippines, na kisiwa cha Wake. Triangle hizi ziko katika 30 degree latitude, maana yake ukiwa Bermuda triangle, upande wa pili wake wa pili wa dunia iko dragon's triangle. Kati ya triangle hizi, dragon's triangle ni mbaya zaidi ya bermuda , tena ni pans zaidi ya ile ya Bermuda, na vile vile huwa inapanuka na kupungua. Inapopanuka huelekea mpaka pwani ya China kuelekea Vietnam. Kumbuka ile ndege ya Malaysia Boeing 737 iliyopotea ikielekea China. Hiyo iliingia katika dragon's triangle.
 
Bermuda triangle ni mlango kuelekea katika nyota ( star gate,). Meli, ndege na hats vessels ndogo ndogo zimekuwa zikipotea katika eneo hilo, nyingine zimekutwa zikielea baada ya kupotea lakini Vila ya watu waliokuwa ndani ya vifaa hiyo maana yake wamepotea katika thin air.
 
Juu ya Bermunda au ukanda ule hakuna ambacho huwa kinapita ndugu

Kuna umuhimu wa kuwa na mada kamili juu ya hili
 
Back
Top Bottom