Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Kuna njia kuu tatu zinazotumiwa na mwanadamu kwa ajili ya usafiri yani kutoa sehemu moja mpaka nyingine nazo ni maji anga na ardhi .

Lakini kwa mchawi ni mbili anga na ardhi , majini wengi wanaikwepa na kuiogopa hasa na wale wachache wanaitumia ni mpaka wapate kibali cha ufalme wa majini .

Mchawi atatumia ungo-hii ni advanced tech ya usafiri na inajumuisha mambo mengi ila ni salama na ni ya haraka zaidi kama ulivyo usafiri wa ndege za kawaida pia ni usafiri wa masafa marefu
Usafiri mwingine ni wa ardhini huu hauna hatari nyingi na gharama pia ni ndogo , chombo chake kwa sehemu kubwa ni Mnyama fisi, tatizo moja la huu usafiri ni inland routes tena za masafa mafupi na wachawi daraja la chini .

Lakini ni mara ngapi umeshasikia usafiri wa wachawi baharini? Ni aghalabu kusikia hii kitu hata kutumia mazao bahari kama makombe na samaki kwenye shughuli za kiganga ni mara chache mno.

Sababu moja kuu ni kwamba maji ndio yanayotajwa la dunia robo tatu ya uso wa dunia ni maji na hata mwili wako pia, kwahiyo ufalme wa maji kwa maana ya majini ndio ufalme wa giza wenye nguvu zaidi na sophisticated zaidi kiasi kwamba ufalme wa giza wa ardhini unapwaya na kugwaya kwa ufalme wa maji .

Ndio maana huwezi kusikia hata siku moja eti mchawi kaanguka baharini au kuna chombo kinachotumiwa na wachawi kusafiria baharini.
Uchawi advanced ni ule wa njia ya kujichinja yani unachomoka ndani ya mwili roho na mwili vinatengana na kuanza kusafiri huku ukiwa juu ya fimbo vipi huo mshana unaujua?
 
Mkuu ninajua ulimwengu unayo mengi na mengi yanastaajabisha sana.Mimi naomba tu aje mtu hapa na Vivid list ya matukio ambayo kwa uhalisia na beyond reasonable doubt tunaweza kuhitimisha kuwa hizo ni nguvu za pekee za kufanya ya pekee ambayo ndio ni dhana ya uchawi.Vitu vingi vinavyoitwa uchawi au matukio ya uchawi ni uzushi tu na ni mambo ya kawaida tu yaliyotiwa chumvi na hofu ya kupita kiasi.Mfano ni Ndege Bundi kuhusishwa na uchawi.Kisayansi Bundi Olfactory system ya Bundi iko very sensitive to smell and Light ili kumsaidia kwenye mawindo yake kama vile Panya.Na Bundi wao wameumbwa kutembea usiku.Sasa kwa mfano Bundi akaja mahali alipo mgonjwa mahututi na kulia/kuimba na kisha mgonjwa kufa kwa hofu hiyo itaaminika mgonjwa karogwa.
Kimsingi,wagonjwa wengi vijijini hujikuta wanatoa harufu kwa sababu ya kutoogeshwa sawa sawa.Na hivi ni rahisi Bundi kutembelea eneo hilo kwa sababu ya harufu ya mgonjwa akifikiria kuna mzoga.Sasa akiwa hapo huku anaimba zake watu watasema wachawi wamekuja kumchukua mgonjwa.Na Mgonjwa akisikia hali kama hiyo atakufa kwa hofu.Kumbuka usiku kuanzia saa 3-10 mwili hupunguza uwezo wake wa kufanya kazi kwa 50%.Sasa mtu mgonjwa ongezea mwili kupunguza uwezo wa kufanya kazi na hofu ya Bundi unategemea mtu atapona?

Vile vile familia zinazouguza wagonjwa mahututi huwa na desturi ya kulala taa zimewaka usiku.Na Bundi hupenda kufuata mwanga ili umsaidie kuwanasa mawindo yake kwa urahisi kama Panya.Kwa hiyo anakuja kwenye makazi ya mgonjwa kwa sababu ya mwanga na kujikuta akiimba kama ilivyo tabia yake na mgonjwa kujaa hofu na hivi "kuzimika" isichukuliwe kuwa huyo Bundi alikuja "kumzimisha" huyo mgonjwa.Huu ni mfano mmoja tu wa kinachoaminiwa ni uchawi kumbe sivyo.
Mkuu vip kaburi la kiyeuyeu lililozuia Umeme kupita, kisayansi ni nini kilikua kinazuia
 
Hiyo kitu si mchezo kuna mzee wangu mmoja alikuwa akifanya kazi penye boat miaka hiyo ulikuwa ukipiga nae story unaweza usilale usiku kuna vitu vingine mtu akikwambia unaweza sema kamba.Kuna hii moja ya kuwa kuna majoka makubwa huwa yapo majini sasa kuna waqt hupazwa(yaani hunyanyuliwa juu na kupotea mawinguni)na anasema mkiwa hapo ufukweni mnasikia kitu kama minyororo inavuta kitu kizito kisha panakuwa na kawa wingu zito.
Je unaweza kulizungumzia hili?
Nilishawahi kuweka mada Kama unavyozema, unaweza kucheki hapa ukapata chochote
Majoka makubwa yanapopazwa, ni nguvu gani huwanyanyua kwenda Angani?
 
Kuna njia kuu tatu zinazotumiwa na mwanadamu kwa ajili ya usafiri yani kutoa sehemu moja mpaka nyingine nazo ni maji anga na ardhi .

Lakini kwa mchawi ni mbili anga na ardhi , majini wengi wanaikwepa na kuiogopa hasa na wale wachache wanaitumia ni mpaka wapate kibali cha ufalme wa majini .

Mchawi atatumia ungo-hii ni advanced tech ya usafiri na inajumuisha mambo mengi ila ni salama na ni ya haraka zaidi kama ulivyo usafiri wa ndege za kawaida pia ni usafiri wa masafa marefu
Usafiri mwingine ni wa ardhini huu hauna hatari nyingi na gharama pia ni ndogo , chombo chake kwa sehemu kubwa ni Mnyama fisi, tatizo moja la huu usafiri ni inland routes tena za masafa mafupi na wachawi daraja la chini .

Lakini ni mara ngapi umeshasikia usafiri wa wachawi baharini? Ni aghalabu kusikia hii kitu hata kutumia mazao bahari kama makombe na samaki kwenye shughuli za kiganga ni mara chache mno.

Sababu moja kuu ni kwamba maji ndio yanayotajwa la dunia robo tatu ya uso wa dunia ni maji na hata mwili wako pia, kwahiyo ufalme wa maji kwa maana ya majini ndio ufalme wa giza wenye nguvu zaidi na sophisticated zaidi kiasi kwamba ufalme wa giza wa ardhini unapwaya na kugwaya kwa ufalme wa maji .

Ndio maana huwezi kusikia hata siku moja eti mchawi kaanguka baharini au kuna chombo kinachotumiwa na wachawi kusafiria baharini.
mshana jr hii ndiyo fani yako inayokupendeza, ukileta thread inayohusiana na hii fani yako, unaeleweka sana, ila ukilazimisha thread zisizohusiana na hiki kipaji chako, zinakuwa hazivutii.
Dumisha kipaji Mkuu watu tujifunze.
 
Nilishawahi kuweka mada Kama unavyozema, unaweza kucheki hapa ukapata chochote
Majoka makubwa yanapopazwa, ni nguvu gani huwanyanyua kwenda Angani?
Huo uzi hata mimi nilichangia so naujua ila Shukran nyingi kuna mdau mmoja kule kaeleza khabari za tornado na kaelezea kitaalamu kweli kwa namna alivyosomeshwa swali linakuja hawa wazee wetu walishindwa kutofautisha sauti ya mgandamizo wa hewa na sauti ya minyororo ikisukwasukwa kwa kubeba kitu kizito?
Mpaka kuwepo hili neno "kupazwa "ina maana kubwa sana na sio kitu kigeni nadhani hawa wazee wetu walio tukiwa na mambo hayo hawakuwa na maneno mengi ya kuipamba hadithi yao kitaalamu ili ionekane ya ukweli na ndio mambo haya zamani wazee wakikupa dawa bila maelezo mengi tena bure ndio maana zikadharaulika leo kina doctor mwaka na matunge wameziweka katika maelezo mazuri na kutia na kingereza kingi sijui kutukoga! (natania tu )wanapiga pesa ndefu sana.
Nikirudi penye mada bado naona kuna nguvu au kitu cha zaidi ya tornado pana uhalisia flan wa hadithi hii ya wazee wetu
 
Mkuu ninajua ulimwengu unayo mengi na mengi yanastaajabisha sana.Mimi naomba tu aje mtu hapa na Vivid list ya matukio ambayo kwa uhalisia na beyond reasonable doubt tunaweza kuhitimisha kuwa hizo ni nguvu za pekee za kufanya ya pekee ambayo ndio ni dhana ya uchawi.Vitu vingi vinavyoitwa uchawi au matukio ya uchawi ni uzushi tu na ni mambo ya kawaida tu yaliyotiwa chumvi na hofu ya kupita kiasi.Mfano ni Ndege Bundi kuhusishwa na uchawi.Kisayansi Bundi Olfactory system ya Bundi iko very sensitive to smell and Light ili kumsaidia kwenye mawindo yake kama vile Panya.Na Bundi wao wameumbwa kutembea usiku.Sasa kwa mfano Bundi akaja mahali alipo mgonjwa mahututi na kulia/kuimba na kisha mgonjwa kufa kwa hofu hiyo itaaminika mgonjwa karogwa.
Kimsingi,wagonjwa wengi vijijini hujikuta wanatoa harufu kwa sababu ya kutoogeshwa sawa sawa.Na hivi ni rahisi Bundi kutembelea eneo hilo kwa sababu ya harufu ya mgonjwa akifikiria kuna mzoga.Sasa akiwa hapo huku anaimba zake watu watasema wachawi wamekuja kumchukua mgonjwa.Na Mgonjwa akisikia hali kama hiyo atakufa kwa hofu.Kumbuka usiku kuanzia saa 3-10 mwili hupunguza uwezo wake wa kufanya kazi kwa 50%.Sasa mtu mgonjwa ongezea mwili kupunguza uwezo wa kufanya kazi na hofu ya Bundi unategemea mtu atapona?

Vile vile familia zinazouguza wagonjwa mahututi huwa na desturi ya kulala taa zimewaka usiku.Na Bundi hupenda kufuata mwanga ili umsaidie kuwanasa mawindo yake kwa urahisi kama Panya.Kwa hiyo anakuja kwenye makazi ya mgonjwa kwa sababu ya mwanga na kujikuta akiimba kama ilivyo tabia yake na mgonjwa kujaa hofu na hivi "kuzimika" isichukuliwe kuwa huyo Bundi alikuja "kumzimisha" huyo mgonjwa.Huu ni mfano mmoja tu wa kinachoaminiwa ni uchawi kumbe sivyo.
Usiwe mbishi. Tafuta makinda ya Bundi, yafunike na chombo chochote hata uweke jiwe juu kuzuia yasitoroke, nenda kalale asubuhi njoo uyatizame kama utayakuta...njoo utoe ushuhuda
 
Back
Top Bottom