Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Ngoja nipanue ufahamu wako kwa njia ya maswali
1. Ninini kinasababisha mpaka mimi na wewe kwa umbali wetu na bila kufahamiana tuwe ze kuandika haya kwenye simu zetu na kuweza kusomana? Kiunganishi ninini?

2 . ninini kinalifanya gari liende?
dah bro jibu kwa fact sio kuleta siasa!,umelizwa roho nin jalb kujb kwa ufupi!
 
Ni bora mungu mtu aonekaye kuliko mungu wa kufikirika ambaye ameumba taifa moja tu tukufu.israel
Ukiendekeza mada za uchawi utakana hata mungu wako hakika,hv m2 mwenye akil anaezaje kuxema bora mungu m2 anayeonekana kuliko..!dah
 
Ukiendekeza mada za uchawi utakana hata mungu wako hakika,hv m2 mwenye akil anaezaje kuxema bora mungu m2 anayeonekana kuliko..!dah
mbaumbau andika kiswahili fasaha na kilichonyooka
Rekebisha haya
-mungu ~ kuna tofauti kubwa kati ya mungu na Mungu
-hv m2
-anaezaje
-kuxema
 
Niliyemjibu alishanielewa na wengine pia!vp una lingine?
Eka akilin kuw kumjib m2 swali straight na ukiwa una assumptions kuw hana analoelew itakusaidia kumjib m2 vema na akakuelew kuliko kujib short uki assume anajua!
 
Eka akilin kuw kumjib m2 swali straight na ukiwa una assumptions kuw hana analoelew itakusaidia kumjib m2 vema na akakuelew kuliko kujib short uki assume anajua!
Andika kiswahili fasaha halafu uliza tu kwa heshima wala sina tatizo nitakujibu
 
Pia sidhan cdhan km kulikuw na haja ya kunijaj kwa jazba wakat nlikuw nataka kuelew juu ya ulchoanzsha bro!
 
dah bro jibu kwa fact sio kuleta siasa!,umelizwa roho nin jalb kujb kwa ufupi!

Pia sidhan cdhan km kulikuw na haja ya kunijaj kwa jazba wakat nlikuw nataka kuelew juu ya ulchoanzsha bro!
Soma ulichoandika hapo juu! Ukishamwambia mtu aache siasa tayari umeshaingiza kitu kingine
Iko hivi kwenye jibu lolote
1. Jibu la moja kwa moja na la mkato (hapa lazima kutafuata swali lingine)
2. Jibu lenye kupanua ufahamu ili hata likija swali lingine jibu linapatikana humo na maarifa juu
 
Wewe nawe wala hujielewi,sijui hata umeandika nini!!? Ina maana mtu anayeipinga mada flani humu JF anatakiwa aanzishe Post mpya ya kupingia!! Pitia post zote za jf lazima kuna wanaokubaliana na mtoa mada na wanaopinga,kwa akili yako mtu hatakiwi kupinga post yeyote!? Umeandika kwa msukumo wa mtu zaidi na kutaka kujionyesha unamsupport,kuwa free acha kufuata mkumbo tu bila kujielewa.
Jukwaa ni huru hivyo mada huwa zinapingwa, lakini zinapingwa kwa hoja ya kuthibitisha hicho kilichopostiwa.. Sasa wewe unapinga tu bila kutoa mbadala, ukisema kitu ni feki lazima uoneshe orijino (halisi), au lazima utoe maelezo ni kwa nini hiyo kitu unasema ni feki ati listi itasaundi, sasa kwa hizi komentsi zako unaonekana ni heta tu...

Kuhusu neno nigga, kwa miaka hii tuliyopo limefanywa kumaanisha mshkaji wako tu, halihusiani na mambo ya kibaguzi kama unavyofikiri..
 
Ukiendekeza mada za uchawi utakana hata mungu wako hakika,hv m2 mwenye akil anaezaje kuxema bora mungu m2 anayeonekana kuliko..!dah
Kwani kuna mungu,anakaa wapi,leta ushahidi.umemuona wapu.sitaki porojo.
 
Indeed, by the way you bark in this thread it clearly shows how imbecile you are.

Dada Yangu Mkuu Humu JF Nakushtakia Huyu Member Super Handsome Kwa KITENDO KIBAYA Kabisa Alichokifanya Cha KUMTUKANA Member Mwenzie Humu TUSI LA KUTUKUKA Ambalo Halistahili Kabisa Kutolewa Na Mtu Kama Yeye. Kwa HESHIMA Yako Kama Dada Yetu Mkuu Humu JF Naomba UMTAKE UPESI SANA Huyu Rafiki Yetu ATUOMBE RADHI WANA JF WOTE. Ila Kimtindo Hicho " Kidhungu " Hapo Umeniacha!
 
Katika hayawani wa mwituni huyu ndio namba moja
Pia kuna habari mchawi akiwa anasafiri na fisi, fisi akikimbia lazima mbele kuna hatari lazima mchawi ageuke ndio maana wanamtumia. Vp mshana jr kuna zaidi ya hilo ktk fisi na wachawi?
 
Pia kuna habari mchawi akiwa anasafiri na fisi, fisi akikimbia lazima mbele kuna hatari lazima mchawi ageuke ndio maana wanamtumia. Vp mshana jr kuna zaidi ya hilo ktk fisi na wachawi?
Ni kweli sensa zake kuhisi hatari zinaenda masafa marefu zaidi ya binadamu
 
Jamani ayasemayo mshana yanaukweli kama upo dar fatilia story ya prespower redio 99.3 saa 6:30am
Kuna dada anasimlia jinsi baba yake mzazi alivyo muuwa mama yake na njinsi alivyo anza kulala nae(sex)mpaka akapata ujauzito na jinsi walivyo kuwa wanaenda baharini ( wanaingia)kukutana na wenzao chin ya bahar kuna mengi duniani kubali kuwa mjinga ujifunze ambavyo uvijui
Story inaendelea kama upo dar fatilia
 
1454405289143.jpg
1454405301085.jpg
siwalaumu na kwakweli siwabezi wale wote wasio amini katika nguvu za giza kwakuwa maisha yao yote yalikuwa so limited
Wamesoma msingi mpaka chuo na kufanikiwa kupata kazi ambapo maisha hayo yote hajawahi hata kusafiri zaidi ya mikoa mitano kwa mfano, na hata kama kasafiri hakuwa au hakuweza kujichanganya na jamii nyingine na hii ni hulka yake toka Shuleni
Yeye ni mtu wa ofisini na nyumbani basi na kwa bahati mbaya hakuwahi kukutana na visa vyovyote vya ushirikina uchawi wala ulozi, na social life yake iko very limited
Mtu wa jinsi hii akiingia hapa na kujikuta katika ulimwengu mwingine kabisa. ....atawashangaa watu tena wakati mwingine kwa vijembe kejeli na mabezo, nao watamshangaa
 
Jamani ayasemayo mshana yanaukweli kama upo dar fatilia story ya prespower redio 99.3 saa 6:30am
Kuna dada anasimlia jinsi baba yake mzazi alivyo muuwa mama yake na njinsi alivyo anza kulala nae(sex)mpaka akapata ujauzito na jinsi walivyo kuwa wanaenda baharini ( wanaingia)kukutana na wenzao chin ya bahar kuna mengi duniani kubali kuwa mjinga ujifunze ambavyo uvijui
Story inaendelea kama upo dar fatilia

Oukey ila hujasema hcho kipind huwa ni lini....! Au kila siku ifikapo saa 6:30am
 
Back
Top Bottom