Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,350
- 11,152
hapana...hakuna siku umetema Pumba kama leo!! Nimekupiga viswali kutokana na mada yako wewe mwenyewe lakini vimekuchanganya,badala ya kujibu umetafuta sababu za kukwepa!!
Listen,I am in competition with no one,i run my own race,i have no desire to play the game of being better than anyone,in any way,shape or form,i just aim to improve,to be better than i was before,that's me and i'm free.
wewe lengo lako ni kupinga sio kujua...
kuna tofauti kubwa sana kati ya kuuliza swali kwa lengo la kupata kuelewa mada husika na kuuliza swali kwa lengo la kupinga...
anavyokujibu bwana mshana ni sahihi kabisa...
kama una lengo la kupingana na mawazo ya mshana,anzisha thread yako ambayo itaonesha upotoshaji wa mshana jr...
sio kuleta maswali ya kitoto kwenye thread ya mwenzio..!