Manyabuluba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 371
- 382
Hmmnatafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Respect pregnant women because itz not easy to walking around with evidence you've had sex.
vumilia utampata au subiri kama ule mpango wa kuishi sayari ya Zuhura ukifanikiwa. nasikia kule pia wako complicated kama wewe.natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Mimi niko tayari kukupa mimba,ila usinidai matunzo.




😀😀😀Hahaha ulivyotaman kubeba hyo mimba utazan wanabeba kama simu
natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Mimi naweza nkawa ndo suluhisho lakonatafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Wewe endelea kutafuta tuu maana hamna namna Sasa! Tafuta Mpaka apatikanenatafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
bae atanipa..it's a matter of time tu...Una shingap nikupe hiyo mimba? Maana Sperm zangu sio za mchezomchezo
asee Daby mzima wewe???Aseeh