😀😀😀asee bae atanipa buana....Scorpio Me, unataka mtoto gani? Kama unataka wa kiume nitafute mie...
amenGod is good! You will conceive soon
Mie mzima mpendwa. Sijui wewe unaetamani kapriginansiasee Daby mzima wewe???


😀😀😀😀😀asee me mzima pia tena sanaaaMie mzima mpendwa. Sijui wewe unaetamani kapriginansi![]()
Haya..mwambie shem afanye haraka. Kazi yangu kutoa jina la mtoto😀😀😀😀😀asee me mzima pia tena sanaaa
sawaHaya..mwambie shem afanye haraka. Kazi yangu kutoa jina la mtoto
Daaaah nani kama mama eti?
Kuna wale mke/mume bf/gf wanavaa sare sare za vitenge....hata nishikiwe bunduki siwezi hizo style.Kwa hali hii leo nabeba mimba kesho naamkia studio kujifungua na mapichapicha....
View attachment 428381View attachment 428383View attachment 428385
😀😀😀😀nimecheka sanaKuna wale mke/mume bf/gf wanavaa sare sare za vitenge....hata nishikiwe bunduki siwezi hizo style.
😀😀😀😀😀😀asee bae atanipa buana....
halafu hiyo signature yako buana...
Mchamba sana huondoka na kinyesi, inaonekana una madhaifu ambayo wataka kuyaficha yasijulikane, kwa sifa unazozitaka hebu jaribisha kwa shetannatafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Inabidi uhamie sayari nyingine unaweza mpata. Kama vile sayar ya Jupiternatafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
askari hujitapa baada ya vita...majogoo tupo..😉natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Funguka tuone... Inawezekana Nyani ngabu Akawa the best candidate...natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Kuna wale mke/mume bf/gf wanavaa sare sare za vitenge....hata nishikiwe bunduki siwezi hizo style.
Khaa! Hata mie nawaangaliaga afu siwamalizi... Yani mie karne hii univishe kitenge? Tenge linampendeza mtoto wa kike buana. Alafu sasa chura awe nalo...Kuna wale mke/mume bf/gf wanavaa sare sare za vitenge....hata nishikiwe bunduki siwezi hizo style.
Pole. Mtengeneze wa kwako mwenye sifa uzitakazo.natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo