Tatizo lako ndio hilo,ukali.



jipe mwenyewe ujitunze mwenyewe
HakunaDaaaah nani kama mama eti?
natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
let be serious unadhani mimi nipoje?Kama unayoandika humu kila siku yanashabihiana na maisha yako, then you've gotta to evaluate yourself dada yangu. Ni kama vile hujui unachotaka...usinipige mawe tu!!!
nakujaNjoo basi tumalizie ile ishu...
Ukujage Kwangu Buananatafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Ndio manake,Eti eeeh
Fanya kunipm, unifanyie tadhmini naweza kua umtakaenatafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Sasa unatangaza nn wkt unajua m/ume unayemtaka hayupo duniani,nenda kuzimunatafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
kwa namna 1 au 2 hizi picha zimeniboa, mbona hakuna mwenye mtoto wa kiume? nazani madem wanafanyaga makusudi kuzaa watoto wa kike tu. kila jinsia inavutia upande wake.Kwa hali hii leo nabeba mimba kesho naamkia studio kujifungua na mapichapicha....
View attachment 428381View attachment 428383View attachment 428385
haka kadem kako desparate sio bureleo una mhemko hatari huenda kweli upo kwenye heat.... maana mchana umepost majamaa yamevaa vyupi tu
Hahaha bora na ww kamanda umeliona hilo. Huyu demu tatizo lake ukali. Anaandika watu tunafunguka yeye anajibu ukali.Tatizo lako ndio hilo,ukali.
Nenda Pluto sasnatafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo