Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
huyo mwanaume wa aina gani unamtaka wewe?
ahahaa nataka tu anipende anijali na kunitunza asiwe mchoyounataka aweje kwani Miss Natafuta ?
huyo mwanaume wa aina gani unamtaka wewe?
ahahaa nataka tu anipende anijali na kunitunza asiwe mchoyounataka aweje kwani Miss Natafuta ?
Ukapime kwanza ujijue Kama Una uwezo Wa kushika mimba!mimba haijii tu katika texts ni hatua ndefu!na Kama background yako ilikuwa saafi!natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
wamejaa hao, au utakuwa umewachelewa kidogo sana, Miss Natafuta, kuna msemo isemao anayetaka hachoki na hata akichoka kishapata.ahahaa nataka tu anipende anijali na kunitunza asiwe mchoyo
Kama ulivyofanya mkuu ! Hii haiitaji caption kabisaaaaa
Usikute unaye mtaka yeye anakuona cheap commodity..!natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
hapo sasa.Watoto ni faraja na ni furaha ya kweli mno!!
Nawapenda sana........
Kweli binadamu ni very complex in nature. Yaani na Mimi niko unique kiaina maana huwa napendaga saana hizo complicated attitude zako.natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
ahahaaaa tatizo ile jero kwenye wallet ilinikimbiza maana niliona pale tukigawana napata nini sasa?Kweli binadamu ni very complex in nature. Yaani na Mimi niko unique kiaina maana huwa napendaga saana hizo complicated attitude zako.
Kuna time baada ya kuwagecha wala vibaka kwenye sredi yangu ukahaidi kunitunuku papuchi..afu ukaingia mitini! Niliuzunika saana.
Miss Natafuta...you don't have to search no more.. No doubt you have finally found me.
I'm at your services.
mie naitaga wana kwaya.. huo upupu ndo huwa unanifanya nisiimbe kwaya na mengine meng..Kuna wale mke/mume bf/gf wanavaa sare sare za vitenge....hata nishikiwe bunduki siwezi hizo style.
Nilivokumiss jamani wifi yanguKumbe! 🙂
Unaongea kwa jeuri utafikiri Zari?natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Nilivokumiss jamani wifi yangu
leo una mhemko hatari huenda kweli upo kwenye heat.... maana mchana umepost majamaa yamevaa vyupi tu
natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Nimekuelewa sana mdauWatoto siku hizi hizi wanakuwa mistreated kama midoli kwenye mitandao.
Mi mzima kabisa wifi langu...Hata mie nmekumiss kweli wifi langu, mzima lakini?