Bae nipe mimba☺

Bae nipe mimba☺

hivi bae lina maana gani au ni kirefu cha maneno gani, nakiona sana na tbt ambalo najua ni kifupi cha tabata lakini lina maana nyingine
 
kwa namna 1 au 2 hizi picha zimeniboa, mbona hakuna mwenye mtoto wa kiume? nazani madem wanafanyaga makusudi kuzaa watoto wa kike tu. kila jinsia inavutia upande wake.
[emoji23]
 
Hivi ni kwamba wanaume tumekuwa scarce mpaka wadada wanaelezea fantasy yao ya kutafta mwanaume jf
 
natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
4919547d12ef67b6b9125b3c74c99b06.jpg
 
Niko serious nataka kukupa mimba Miss Nat....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
tafuta group O mmoja mfanya mazoezi mpangilia msosi, afu jigeshe siku za hatari, sio mimba tuu, MAPACHA..over, naumba mungu kwa sasa anipunguzia tamaa/ hamu za kimwili, maana miaka 2 watoto 5
 
Back
Top Bottom