Bae nipe mimba☺

Bae nipe mimba☺

Huu uzi haunihusu...samahanini kwa kuwavamia
 
Haipendezi na ni kosa kutoa picha za watu mtandaoni bila idhini yao.

Nakumbuka "kiwatengu" alihamasisha kujenga "couples" humu, hebu turushieni picha za "kids" wenu badala ya mama "victim" wa tamaa zenu za watoto!
 
Duh pole sana ila kwa hzo fikra nadhan ww ni under 27 yrs
 
Kama unayoandika humu kila siku yanashabihiana na maisha yako, then you've gotta to evaluate yourself dada yangu. Ni kama vile hujui unachotaka...usinipige mawe tu!!!
Teh... Naona umetangulia kuomba poo.
 
Kumbe mpka wanawake wa Dar nao wanatamani kupata watoto

Siyo kweli wanatamani watoto na wala siyo wawakilishi wa wanawake wa Dar. Wengi wao ni manungaembe tu, muda wao wa kupata watoto umepita, la ni "single mothers".

Wakina mama wa JF msiwasemee mama zetu tafadhali! Wakilisheni "stress" zenu kwa heshima na utu, tutawaheshimu
 
natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Hebu mchore kwa penseli naweza kukuambia anapatikana duniani au hapatikani
 
Wow kama coincidence mana baby wangu leo alikua ananiambia antaman kubeba mimba yangu
 
Back
Top Bottom