Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,516
- 52,172
Upo sahihi MTIBELIKwema Wakuu!
Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24 hayatafanyika.
Hayo mambo ya kusema sijui Bakabaka watafanya Usafi wala isije ikawa kisingizio.
Bakabaka hawajawahi kuwa tishio kwa Wananchi walioamua kudai haki zao za msingi. Narudia Bakabaka hawajawahi kuwa kizuizi kwa Watu walioamua kudai haki zao.
Kwa nchi yetu hatuna Watu wa aina hiyo. Na kama wapo basi kwenye laki yupo mmoja.
Nchi hii ingekuwa na Watu angalau elfu tano tuu wenye ile roho ya kudai na kupigania haki zao basi mambo mengi yangeenda. Lakini kwa bahati mbaya Watu hao hawapo.
Kwa nchi yetu hata Watu wachukuliwe Wake zao, nina uhakika hakuna wa kuandamana. Wataishia tuu kulalama chinichini. Kwani hata kupiga kelele hawana huo uwezo.
Elewa kuwa Watu wanaodai haki zao sifa yao kubwa hawaogopi Kifo. Hiyo ndio sifa yao namba moja. Na kama hawaogopi kifo maana yake hakuna wanachoogopa katika hii dunia.
Huwezi kudai haki ikiwa kuna kitu chenye thamani kuliko haki unayoidai. Huo ni ulaghai. Kujidanganya na kudanganya Watu.
Nawatakia jumapili njema
Mbona watu waliandamana kwa ajili ya NCCR, CUF na chadema ya Slaa ulikuwa hujazaliwa? Ni muda kamati za Chadema kuwaita wanachama hai kutimiza majukumu yao kwa chama na Nchi.Kwema Wakuu!
Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24 hayatafanyika.
Hayo mambo ya kusema sijui Bakabaka watafanya Usafi wala isije ikawa kisingizio.
Bakabaka hawajawahi kuwa tishio kwa Wananchi walioamua kudai haki zao za msingi. Narudia Bakabaka hawajawahi kuwa kizuizi kwa Watu walioamua kudai haki zao.
Kwa nchi yetu hatuna Watu wa aina hiyo. Na kama wapo basi kwenye laki yupo mmoja.
Nchi hii ingekuwa na Watu angalau elfu tano tuu wenye ile roho ya kudai na kupigania haki zao basi mambo mengi yangeenda. Lakini kwa bahati mbaya Watu hao hawapo.
Kwa nchi yetu hata Watu wachukuliwe Wake zao, nina uhakika hakuna wa kuandamana. Wataishia tuu kulalama chinichini. Kwani hata kupiga kelele hawana huo uwezo.
Elewa kuwa Watu wanaodai haki zao sifa yao kubwa hawaogopi Kifo. Hiyo ndio sifa yao namba moja. Na kama hawaogopi kifo maana yake hakuna wanachoogopa katika hii dunia.
Huwezi kudai haki ikiwa kuna kitu chenye thamani kuliko haki unayoidai. Huo ni ulaghai. Kujidanganya na kudanganya Watu.
Nawatakia jumapili njema
Mbona watu waliandamana kwa ajili ya NCCR, CUF na chadema ya Slaa ulikuwa hujazaliwa? Ni muda kamati za Chadema kuwaita wanachama hai kutimiza majukumu yao kwa chama na Nchi.
Soma historia. Even better muulize Mama yako.Nini kilitokea?
Matokeo?
Upo sahihi MTIBELI
Soma historia.
You can't be this dumb.Historia ya nini Mkuu?
You can't be this dumb.
Kama unaamini hilo kwanini unauliza?Ñimekuuliza swali rahisi sana.
Historia ipi. Hakuna maandamano yaliyowahi kufanyika hapa nchini yakafanikiwa kwa sababu wanaoyafanya hawako serious na hawajui nini wanakipigania
Kama unaamini hilo kwanini unauliza?
Kwahiyo post zako mbili za nyuma zilikuwa statements siyo maswali.Kwani nilikuuliza wewe?
Au nimeandika hapa kwaajili yako?
Yaani kuna Watu wajinga sana
Kwahiyo post zako mbili za nyuma zilikuwa statements siyo maswali.
Siasa za kweli zile. Watu walikuwa motivated na mapinduzi madogo ya kisiasa.Mbona watu waliandamana kwa ajili ya NCCR, CUF na chadema ya Slaa ulikuwa hujazaliwa? Ni muda kamati za Chadema kuwaita wanachama hai kutimiza majukumu yao kwa chama na Nchi.
Take and shove them up your @$$.Yalikuwa majibu
Sina imani na Mbowe lakini tunahitaji maandamano.Siasa za kweli zile. Watu walikuwa motivated na mapinduzi madogo ya kisiasa.
Sasa leo hii,unamsikia Mbowe anasema,Samia kachangia 150M .
Wiki ijayo anamnanga tena Mh. Raising.
Watu watakuelewa kwa hayo maandamano?