bado nalia na charminglady

"kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport" haya we endelea kusubiri kama itakuja. . .

kwa jinsi ambavyo unanipaga za uso nilisha kuwa sugu wa maneno yako makali,haya ya leo yananafuu kiasi kwamba naona kama ni lomantic words,...nakumbu maneno ya babu alisema mwanamke mkali huwa ni mtamu,pia nakumbuka msemo usemao no sweet without sweat.
hata hivyo kwakua nasubiri meli airport bado na alternative za kufanya ili nifanikiwe, 1.kuamua kubadili badala ya kusubiria meli nisubiri ndege au 2. Kuamua kutoka airpot na kwenda bandarini.zote ni njia za kufanikiwa,nipo kwenye asilimia sitin sasa
 
hv wewe wakati unazaliwa ulitanguliza mguu ama mkono, mwanaume huelewi la mhadhini wala mnadi swala khaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom