bado nalia na charminglady

kama anataka msaada c akaombe kanisan ama msikitini?

dah,nilikuwa nimemiss maneno yako kama haya,huwa nimeyazo kias kwamba najiona kama vile nimetulia na wewe kwenye six by six unanipetipeti,leta lingine kipenzi cha moyo wangu
 
Q

Sorry! My fellow, nimemix marumba! Nilidhani huyu aombae kibarua ndiyo yule as known Mtakatifu Black Cat !
Kumbe ni "Time is now! "
hapo sasa i had bare new song !
Nevertheless due my vision mbona to your side naona kama a vacancy available ? Au ni macho yangu tu ndiyo hayaoni ?

hahahaa! mkuu naenjoy kuwa single kha. . . mbna sieleweki? ifike mahali wanajamvi mnielewe jaman mbna mnaingilia uhuru wangu??????
 
Charm jamani,
Kiduchu tu,
afu umpotezee!!
Mbona unakuwa hujui kula na kipofu mwaego?

mamie tatizo nshazoea kujitawala, ka club naenda nakesha mpk asbh, naenda bar nalewa tilalila kama flan wa humu jf na hakuna wa kuniuliza yan kichwa changu ndo serikali yangu. sa iweje nipate mtu wa kuniuliza uko wapi,warud sa ngapi. siwezi mie kiruuuu hebu na anipishie mbali. . . .
 
Hahaha Mkuu mi naona wakati ndio sasa na charminglady ni sawa na Pinda na Halima Mdee! Think!!

IMG_6368.JPG

nakushukuru Asprin make umeliona hili mapema. . .
 
Last edited by a moderator:
We wakati_ndo_sasa,mnamrubuni my Strong Team Dr...huyo anaweza kuchoma sindano tu,mambo ya mahaba hayawezi huyo...
 
We wakati_ndo_sasa,mnamrubuni my Strong Team Dr...huyo anaweza kuchoma sindano tu,mambo ya mahaba hayawezi huyo...

nimedumu kwenye maombi kwa muda sasa nikimuomba mungu anipe cl naamini atanipa tu kwani kwake hakuna linaloshindikana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom