JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
charminglady usisikilize maneno ya watu,fanya maamuzi yako binafs kwan wewe ndio muolewaji si wao,please nipende sitakufanya ujute kunipendasitakiiiiii. . . .
kuepuka hayo fanya ile starehe binafsi
View attachment 61377
ha,ha,ha....salute mkuu!
Hizo swag mtu kama hataki huwa doesnt moaning ila ukiona mtu ana moaning like dat safarii hiyoo
mi najua fika ktk hili we ndio mchawi wangu,utashindwa na utalegea mwisho wa siku wakati ndio sasa na charminglady ni wapenzi....utajibeba
Wapiiiiiii kaoge babu weee ooooohoo tena wantibua mie nilieshoga kipenz kwa cl utaichekelea sjoo imetafuna kwaaaako pyeeee
Wakubwa,wana chitchat, mwenzenu bado nalia na charminglady .Najua ni mateso kupenda usipopendwa,sina budi kusema hili,kiukweli ninateseka sana tena sana na huyu mlimbwende,naomba mtu ambaye yupo karibu naye anisaidie
Nimekuwa na wakati mgumu sana hasa ninapomgusa tu hata kwa salamu anakua mkali sipata ona,kama hamuamini ngoja muone post zake hapa atakavyo nishambulia.Namini Kongosho , FirstLady , cathelin Madame B na wengine mkiingilia kati ntaweza kufanikiwa
Jaman wakati ndio sasa umeooona umeona we haya tuu nakwambia cl akiondoka hapa kiukweliukweli wewe weweeeeee utajuuuta nakwambiaha,ha,ha,....kazi ni nayo dah!
Umemkimbiza jukwaa dada yetu Charminglady!
Jaman wakati ndio sasa umeooona umeona we haya tuu nakwambia cl akiondoka hapa kiukweliukweli wewe weweeeeee utajuuuta nakwambia
ha,ha,ha....,yaani kisa kupendwa!
jamani si mnisaidie kumwambia huyu wakati ndio sasa me na-enjoy sana kuwa single ctak stress yeuwiii!!!!!!
Simba mkali na alizaa