bado nalia na charminglady

jaman jaman nahis utazirai kabisa ana mwenye mke akitokea hapa atakutundikia diripu wewe shauri yako. Dah ila pole sa nkuletee nin? Mgonjwa



Hata mitishamba itasaidia mama naona hizi dawa zao hazisaidii,na mitishamba ikishindikana si unaweza kukaa na mimi japo kwa usiku mmoja tu kunifariji..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom