bado nalia na charminglady

bado nalia na charminglady

mapenzi yanauma jamani. Kijana wenu naye anataka faraja. angalau aonje kiduchu tu basi. mia
 
Q
cjakupata mkuu., . . username yake ni wakati ndio sasa ama unamaanisha nini?

Sorry! My fellow, nimemix marumba! Nilidhani huyu aombae kibarua ndiyo yule as known Mtakatifu Black Cat !
Kumbe ni "Time is now! "
hapo sasa i had bare new song !
Nevertheless due my vision mbona to your side naona kama a vacancy available ? Au ni macho yangu tu ndiyo hayaoni ?
 
Last edited by a moderator:

Jiandae tu na hivi nishafahamishwa kuwa wewe ndio mmiliki.............
 
Charm jamani,
Kiduchu tu,
afu umpotezee!!
Mbona unakuwa hujui kula na kipofu mwaego?
 
huyu mbona ataingia king tu,sema anapenda njia ndefu kishenzi,anatoka dar kwenda arusha lakni mpaka aend kigoma,mwanza,singinda ndo aje arusha

Nawewe sasa unakoelekea utaniudhi,
Hivi wewe kwenye hizo Beg'Party zenu si mnapewaga mbinu na mastyle yote ya kumtokea Kishtobe?
Au wewe unaendaga chaka?
Hebu kapasue kibubu chako umletee Macheda hayo uone kama ataendelea ku-mbwelambwela.
 
Ntamleta huyu mtoto wa kiume kwako umfunde!!, sio anakuja kulalamika lalamika hapa,
 
Ngoja ifike mchana mchana kajua katoke ndio vizuri!
Si unajua!
Si unajua tena mambo yetu yake?
Mimi niko poa sana kuliko maelezo.
Haya leo unaianzaje papito?
 
Naona charm kaanza kulegea mwenyewe leta ile picha watu waone
wakati ndio sasa lazima achukue kifaa!

Hahahahahaha!!!

UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE .
 
Naona charm kaanza kulegea mwenyewe leta ile picha watu waone
wakati ndio sasa lazima achukue kifaa!

Hahaha Mkuu mi naona wakati ndio sasa na charminglady ni sawa na Pinda na Halima Mdee! Think!!

IMG_6368.JPG
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom