bado nalia na charminglady

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Wakubwa,wana chitchat, mwenzenu bado nalia na charminglady .Najua ni mateso kupenda usipopendwa,sina budi kusema hili,kiukweli ninateseka sana tena sana na huyu mlimbwende,naomba mtu ambaye yupo karibu naye anisaidie
Nimekuwa na wakati mgumu sana hasa ninapomgusa tu hata kwa salamu anakua mkali sipata ona,kama hamuamini ngoja muone post zake hapa atakavyo nishambulia.Namini Kongosho , FirstLady , cathelin Madame B na wengine mkiingilia kati ntaweza kufanikiwa
 
Last edited by a moderator:
Dah!
Sasa mbona hukutushirikisha kipindi kile?
charminglady hebu njoo umsikilize kijana mwenzako anateseka juu yako jamani,atakunywa Ratkill!

Msubiri anakuja.
 
Last edited by a moderator:
mama naye anakuja juu Wapi mahari aliyekula hajulikani.

mama subiri kwanza,huku wewe hutakiwi,tukisha pendana na kuelewana ndio mama utahusishwa ikiwa ni safari ya kueleke harus au unasemaje mama?..,lakni unaweza kutuma mashost wako wanisaidie kuchombeza
 
Dah!
Sasa mbona hukutushirikisha kipindi kile?
charminglady hebu njoo umsikilize kijana mwenzako anateseka juu yako jamani,atakunywa Ratkill!

Msubiri anakuja.

mmmh,anakuja lakini mapande atakayonipa itakuwa hatari tena ya uso
 
Last edited by a moderator:
cl shost hebu njoo utiririke mana huyu bway hapa yuko na ma feeling mooobu juu yako atiii

wewe ni mtu muhimu sana ktk kufanikisha hili,lakni naona unamuita cl kama haupo serious!,...ama una nipiga za uso kama BADILI TABIA ? please help me in this,
 
Last edited by a moderator:
"kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport" haya we endelea kusubiri kama itakuja. . .

Cl hebu punguza jazba mama nafahamu ulivo makin na mwenye kusimamia msimamo wako mi nalifahamu hilo kipenzi hebu maikilize kwanza halaf tuone inakuaje kama sera zake ni zilezile basi utamtupa kwenye dastibin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom