Halafu aliwahi sema humu kuwa wana zaidi ya miaka 30 kwenye ndoa, ila watu bado wana-mack tu. Haha hii mitaa kweli noma. Wengi humu wazazi wetu bado wanaisaka hiyo number.
Asante mkuu,yaani natamani hiyo pole ingetoka kwake bibie,
tepetepe na mikunjo mwanzo mwisho.
Myb jicho mkuu
Mkuu tuheshimiane,huyu mrembo nimetokea kumpenda kabla yako...
Teh teh..watu wanataka kutembea na wazazi wao humu..ila we differ bro..wengine "age before beauty" ndo principle yao lol