Bado Nakupenda Faiza Foxy

Bado Nakupenda Faiza Foxy

Awsom

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
1,085
Reaction score
307
Salamu zikufikie Faiza Wangu,

-Haijalishi wana dunia watatugombanisha vipi,
-Haijalishi wataendelea kutusema kwa kiasi gani,
-Haijalishi kutofautiana kwetu katika itikadi ya vyama vya siasa.

Hayo yote ni bid'aa na dhahma za duniani ILA bado nakupenda na kukumbuka mengi kutoka kwako.
 
Mmmh kama unaweza kufunguka kwa bi faiza we ni mwanaume wa shoka teh

Yaani usiku huu mzima nimemuota yeye,asubuhi nimeamka namuwaza yeye Bi Faiza mpaka nimejimwagia chai kama zuzu huku nikiduwaa tu macho ukutani,
 
Yaani usiku huu mzima nimemuota yeye,asubuhi nimeamka namuwaza yeye Bi Faiza mpaka nimejimwagia chai kama zuzu huku nikiduwaa tu macho ukutani,
Ulivosema bado unampenda na kukumbuka mengi kutoka kwake nkajua labda ni mchumba ako kumbe mapenzi ya ndotoni, basi endelea kulala tu faiza alivo kauzu sijui umewaza nini lol
 
Si umfate chemba ukateme madini..

Huko nshamaliza kwa 95% sasa nataka kuweka wazi mbele ya walimwengu...na zaidi wale wenye wenye wivu na husuda,
 
Ulivosema bado unampenda na kukumbuka mengi kutoka kwake nkajua labda ni mchumba ako kumbe mapenzi ya ndotoni, basi endelea kulala tu faiza alivo kauzu sijui umewaza nini lol

Hapana tumetoka naye mbali sana...tumefanya mengi mazuri sana ila tulitofautiana kidogo kwajili ya mambo ya siasa na wenye hila nao wakajitokeza kutuharibia
 
Tatizo moyo wangu...moyo...huu moyo unampenda ati,

Ila amewahi kusema yupo ktk ndoa na mpaka sasa ndoa yake inachanja mbuga kwa muda wa miaka 37! yaani yupo ktk ndoa kwa muda wa miaka 37, sidhani kama utamnyofoa, na pia nafikiri ye ni lorry, HACHEPUKI.
 
Back
Top Bottom