Bado Nakupenda Faiza Foxy

Bado Nakupenda Faiza Foxy

mkuu.Faiza ana GOZI lake na analipenda sana..Kama hicho sio kikwazo kwako basi endelea kujaribu bahati yako


Halafu aliwahi sema humu kuwa wana zaidi ya miaka 30 kwenye ndoa, ila watu bado wana-mack tu. Haha hii mitaa kweli noma. Wengi humu wazazi wetu bado wanaisaka hiyo number.
 
Halafu aliwahi sema humu kuwa wana zaidi ya miaka 30 kwenye ndoa, ila watu bado wana-mack tu. Haha hii mitaa kweli noma. Wengi humu wazazi wetu bado wanaisaka hiyo number.

Sheeee drive me crazy...Cc.
 
Hapana tumetoka naye mbali sana...tumefanya mengi mazuri sana ila tulitofautiana kidogo kwajili ya mambo ya siasa na wenye hila nao wakajitokeza kutuharibia
Sometime I hate ma heart by 2 PAC..Hahahaha faiza unataftwa huku
 
Halafu aliwahi sema humu kuwa wana zaidi ya miaka 30 kwenye ndoa, ila watu bado wana-mack tu. Haha hii mitaa kweli noma. Wengi humu wazazi wetu bado wanaisaka hiyo number.

To be precise, alisema miaka 37, mwezi huu huu nafikiri alijibu swali la mtu na kutoa maelezo kidogo.
 
Salamu zikufikie Faiza Wangu,

-Haijalishi wana dunia watatugombanisha vipi,
-Haijalishi wataendelea kutusema kwa kiasi gani,
-Haijalishi kutofautiana kwetu katika itikadi ya vyama vya siasa.

Hayo yote ni bid'aa na dhahma za duniani ILA bado nakupenda na kukumbuka mengi kutoka kwako.

Bora umetoa ya moyoni usijekua kama Mheshimiwa mamvi
 
Back
Top Bottom