barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Huko nshamaliza kwa 95% sasa nataka kuweka wazi mbele ya walimwengu...na zaidi wale wenye wenye wivu na husuda,
oooh!! hivi unataka nae urafiki au papuchi yake au vyote?
Huko nshamaliza kwa 95% sasa nataka kuweka wazi mbele ya walimwengu...na zaidi wale wenye wenye wivu na husuda,
Agayaaaaaaahapo utakuwa hunitendei haki dada. Have decided to listen to my heart, undugu pembeni kwanza. Oligwa hene?
Agayaaaaaaa
walaaa..mtoto mbichii
Salamu zikufikie Faiza Wangu,
-Haijalishi wana dunia watatugombanisha vipi,
-Haijalishi wataendelea kutusema kwa kiasi gani,
-Haijalishi kutofautiana kwetu katika itikadi ya vyama vya siasa.
Hayo yote ni bid'aa na dhahma za duniani ILA bado nakupenda na kukumbuka mengi kutoka kwako.
hahaha...unatonesha majeraha ya wengi,
Hicho kibibi kichawi shauri yako..utaumia
afu mbona watu wengi wanamng'ang'ania Faiza..kwani ana nn mkuu?
Salamu zikufikie Faiza Wangu,
-Haijalishi wana dunia watatugombanisha vipi,
-Haijalishi wataendelea kutusema kwa kiasi gani,
-Haijalishi kutofautiana kwetu katika itikadi ya vyama vya siasa.
Hayo yote ni bid'aa na dhahma za duniani ILA bado nakupenda na kukumbuka mengi kutoka kwako.
mambo gani hayo ambayo we hauna?mambo adimu.
mambo gani hayo ambayo we hauna?