Alafu si ndio mji unaoongoza kwa makanisa mengi ?why?Mbeya ndio kuna balaa zaidi sijawahi kuona watu wanapenda uchawi kuliko chakula
Alafu si ndio mji unaoongoza kwa makanisa mengi ?why?Mbeya ndio kuna balaa zaidi sijawahi kuona watu wanapenda uchawi kuliko chakula
Ukipisha ndio ajali yenyewe unatakiwa ugonge hata kama ni mtu japo baadae kunakuwa hakuna kilichogongwa.Sa ka ni dereve ukakutana na kitu cha namna hiyo kinakatiza barabara
Unapisha au ukigonge tu
Kuna uwezekano nilikuwa nakukimbiza kama nilivyo, ila kama wee ni jinsia ke! Kama ni dume umenichanganya na mwingine.Duh @barafuyamoto wewe ni noma kweli, umesahau jana mida ya saa 9 usiku ulinikimbiza huku ukiwa umevaa hivyo hivyo halafu leo wasema hauamini uchawi? Ogopa Mungu wako.
Hollywood inaharibukiumbe huyu anauwezo WA kunywa damu za binadamu Lita 500 KWA dakika 10 tu baada ya ajali./ binadamu mmoja huwa na takribani Lita 9 pekee!/ calculate!
Hollywood hasa kile kitengo cha James Cameron kinaharibu sana watu, fantasy inaharibu akili za watu.kiumbe huyu anauwezo WA kunywa damu za binadamu Lita 500 KWA dakika 10 tu baada ya ajali./ binadamu mmoja huwa na takribani Lita 9 pekee!/ calculate!
HiviNdo maana nimesema mwenye kuamini aamini! Mimi siamini na sitaamini mpaka nitakapokuja ona kwa macho yangu sio kusimuliwa au eti timu ilifungwa sababu ilirogwa! Hell No.
Mada iliyopita tumezungumzia kuhusu uchawi na ushirikina kwenye mahakama zetu... Hapa tunaangalia eneo lingine muhimu BARABARA ZETU
Madereva katika hili ndio wanaweza kuwa mashahidi wazuri sana kwakuwa ni wahanga wakubwa na hivi vitu wanakutana navyo sana, hasa madereva wa daladala, mabasi ya mikoani na magari ya mizigo
Uchawi wa barabarani uko wa aina nne
1. Uchawi unaomhusu mmiliki wa gari husika... Hii mara nyingi ni kwa ajili ya kutoa kafara kwa ajili ya kulinda au kuongeza utajiri wake, baadhi hujui kabisa kuwa gari lake siku hiyo litapata ajali na watakufa watu kadha. Madereva wanaostuka huacha kazi ghafla
2. Uchawi unaohusisha vilinge na njia za wachawi.... Hawa watu huwa hawapishi kitu au mtu, kwahiyo ukiingia kwenye anga zao ujue wa kuumia ni wewe, ndio maana ajali nyingi za barabarani dereva atakwambia aliona mnyama au mtu au kitu akajaribu kukikwepa ndio ajali ikatokea... Kamwe hutakiwi kukwepa
3. Uchawi unaohusisha roho zinazotangatanga, mapepo mizimu na mashetani, hizi huwa ni tamaa tu ya kuua kunywa damu au kuleta maafa na majonzi katika jamii
4. Uchawi unaomhusu dereva mwenyewe au mfanyakazi wa gari, maisha magumu na tamaa ya mali husababisha watu wafanye mambo ya ajabu, dereva anaenda kwa mganga na kupewa sharti la kupindua gari watu wafe mambo yake yanyooke, lakini pia wengine huambiwa kuwa anakosa kazi kwasababu ya fulani hivyo hutegeshewa Phantom na kupindua gari, akisalimika kifo anabaki na ulemavu
Ya barabarani ni mengi tusiyoyajua, magari mengi yamezindikwa, Madereva wamezindikwa wafanyakazi wamezindikwa tiketi zimezindikwa.. Unapofika salama ni kumshukuru Mungu na ndio maana tunasisitizana sana kufanya ibada Sala na maombi kwa imani zetu kabla ya kuanza safari
Hata uwanja wa toto tundu tabata wanafanyaga upuuzi kama huu kwa imani zao! Kwa hiyo wewe umeamua kuamini kisa unaogopa? Hovyo kabisa! Waje wanitesti mimi.Hivi
Wajua kuwa ule uwanja wa taifa, katikati pale unapoanzia Mpira mbuz kibao washachinjwa pale, endelea hivyo siku wakitumia makata, haya utaenda semea Kuzimu, ni bora ukakaa kimya kuliko kuchonga
Si kwamba naogopa, niogope nini sasa, haya endelea pengine una jini ndani halafu unapima watuHata uwanja wa toto tundu tabata wanafanyaga upuuzi kama huu kwa imani zao! Kwa hiyo wewe umeamua kuamini kisa unaogopa? Hovyo kabisa! Waje wanitesti mimi.
cousin wangu ni dereva wa gari ya mizigo. Alishathibitisha kuona watu ghafla saa 8 usiku huko kondoa wako kwenye maulidi katikati ya barabara. Hakuwakwepa. alipowatawanya wakamzomea
Jogging ya saa nane usiku???? Mmmh haaaya
Mkuu jogging wamevaa kanzu na baibui wanaimba wamekaa katikati ya barabara?mbona hakuna aliyegongeka??Nyie ndio mnao kanyaga watu wa jogging.
Makata kama lilivyo jina lenyewe kazi yake ni kuharibu na kufisha Chochote kibaya kinachohusiana na nguvu za giza@mshana jr ninaomba utusaidie matumizi ya makata ktk kuukabili uchawi
Asante. Dozi yake unatumiaje maana ninataka nitumie ila kuna mtu ameniogopesha eti yanauaMakata kama lilivyo jina lenyewe kazi yake ni kuharibu na kufisha Chochote kibaya kinachohusiana na nguvu za giza