Ukweli unauma'eeHalafu acha kujitia wazimu, wewe km huamini Mungu, endelea kuamini hivyo, na mie niache niendelee kuamini ninachokijua,
Ukweli unauma'eeHalafu acha kujitia wazimu, wewe km huamini Mungu, endelea kuamini hivyo, na mie niache niendelee kuamini ninachokijua,
Siku yakikukuta hata robo ndio utaelewa maana yake.kwa sasa shika ulilonalo .wala hulazimishwi kuamini.tomaso mko wengiHeri kiroba maana hakileweshi kama hayo mauzauza yenu mnayoamini mpaka mnaitwa makondoo.
Na usukule ndio huo huo mnaaminishwa upumbavu mnakubali pasipo kuhoji.
He he he sasa ukweli gani rafiki, maana kila mtu ana Uhuru wa mawazo, imani na chaguzi ktk mambo ya dini, pamoja na Uhuru wa awaye yote kubadili dini au imani yake, kufanya ibaada ni Uhuru na jambo LA MTU binafsi, hivyo wewe km huna dini ni mpagani au unaabudu ng'ombe, miti, mbuzi nk, sina tatizo kwa sababu una uhuru wa kufanya hivyo, usilazimishe nikubaliane nawe wakati nina Uhuru wa kuchagua kile ninachoona kinafaaUkweli unauma'ee
Wewe unajua tulianzaje na yule alisema kuwa sisi ni wanywa viroba? Acha kujifanya khadija CopaHe he he sasa ukweli gani rafiki, maana kila mtu ana Uhuru wa mawazo, imani na chaguzi ktk mambo ya dini, pamoja na Uhuru wa awaye yote kubadili dini au imani yake, kufanya ibaada ni Uhuru na jambo LA MTU binafsi, hivyo wewe km huna dini ni mpagani au unaabudu ng'ombe, miti, mbuzi nk, sina tatizo kwa sababu una uhuru wa kufanya hivyo, usilazimishe nikubaliane nawe wakati nina Uhuru wa kuchagua kile ninachoona kinafaa
Na wewe Mzee YusuphWewe unajua tulianzaje na yule alisema kuwa sisi ni wanywa viroba? Acha kujifanya khadija Copa
Sio mbaya. Tusubiri tu mtoto wa muumini na na mpagani kuzaliwaNa wewe Mzee Yusuph
Khaaaaaa huyo mtoto atakuwa nusu kiumbe nusu binadamu,Sio mbaya. Tusubiri tu mtoto wa muumini na na mpagani kuzaliwa
Hakuna nusu kiumbe.Khaaaaaa huyo mtoto atakuwa nusu kiumbe nusu binadamu,
hili hata mimi nilisikia kwa wamiliki fulani hapa bongo na wanafanta wazi wazi sijui imekaaje hapaMshana nishawahi hadithiwa kwamba kuna baadhi ya matajiri wa mabasi hukusanya mchanga wa kwenye basi wakifagia mwisho wa safari..hiki unalizungumziaje
Lol, wacha niishie hapa maana we utanichosha tuHakuna nusu kiumbe.
Ila atachukua tabia yangu nusu na yako nusu...... Hivyo ukijumlisha utapata kiumbe kamili
Kwa jina la yesu hautaishia hapaLol, wacha niishie hapa maana we utanichosha tu
Ha ha ha ha. Haya bwanaKwa jina la yesu hautaishia hapa
Wewe unajua tulianzaje na yule alisema kuwa sisi ni wanywa viroba? Acha kujifanya khadija Copa
Na wewe Mzee Yusuph
Sio mbaya. Tusubiri tu mtoto wa muumini na na mpagani kuzaliwa
Khaaaaaa huyo mtoto atakuwa nusu kiumbe nusu binadamu,
Hakuna nusu kiumbe.
Ila atachukua tabia yangu nusu na yako nusu...... Hivyo ukijumlisha utapata kiumbe kamili
Lol, wacha niishie hapa maana we utanichosha tu
Kwa jina la yesu hautaishia hapa
Mjadala ulikuwa mzuri lakiniHa ha ha ha. Haya bwana
Ha ha ha ha. Haya mkeHa ha ha ha. Haya bwana
Amina mtumishi . Alichokiunganisha mungu, mwanadamu asikitenganishe.Mjadala ulikuwa mzuri lakini
Halafu wewe Mungu gani unayemtaja ili hali huamini km yupo?? Ndoa yetu wenyewe hadi sasa sijajua itafungwa kimila au tutabebana tu tukazae watoto,Amina mtumishi . Alichokiunganisha mungu, mwanadamu asikitenganishe.
Kwako sina namna. Itabidi nikubali tu mungu yupo kuliko kukupoteza..... Kwani nikimkiri yesu kuwa ni bwana na mwokozi nitakufa?Halafu wewe Mungu gani unayemtaja ili hali huamini km yupo?? Ndoa yetu wenyewe hadi sasa sijajua itafungwa kimila au tutabebana tu tukazae watoto,
Ooooh utaish hauta kufa, Roho amekushukia sasa, kwa kuwa me ni mwinjilisti na ninakanisa itabidi uje kanisani kwangu, tuyajenge mambo ya ufalme ujaoKwako sina namna. Itabidi nikubali tu mungu yupo kuliko kukupoteza..... Kwani nikimkiri yesu kuwa ni bwana na mwokozi nitakufa?
Wewe sema tu mamaangu unataka ndoa ipi maana kwako sina kauli.