Bado huamini katika uchawi na ushirikina? Waulize madereva

Asante.
Mie huwa naamini hizi ni mind games tu. hao wachawi wanaoangusha mabasi ya bongo mbona wasiangushe BA flights?
Uongo mwingine huu..

Nakumbuka nilivyokua abt 8 yrs nilichukua machine ya ndevu ya dingi usiku nikajinyoa bila kukusudia, kwavile niliogopa ningechapwa coz nilijipunyuapunyua nakaamua kujikausha mpaka asubuhi na nikachelewa kuamka ndipo mother akaja kuniamsha na kukuta kichwani nimepunyuliwa.

Hapo maza bila kujiuliza akaanza kupiga yowe kwamba wachawi wameninyoa na mie ili nisiulizwe maswali mengi nikajifanya sijielewi kabisa mpaka nikapelekwa kwa waganga mbali mbali

Kesi hilikuwa kubwa sana maana wapiga ramli waliwataja baadhi ya ndugu kwamba ndio wananichezea basi nilivyopata akili ya kiutu SIAMINI TENA UCHAWI coz ni Mind game tu.
 
Natamani mtu aniloge kwa muda flani af aniachie ili nijue inakuaje.....

Maana mengi yanabaki stori tu, fulani aliona hiki, yule ilikua hivi.... sielewagi ndo maana haya makitu mi ata siyakubali kama yapo.
 
Mshana nishawahi hadithiwa kwamba kuna baadhi ya matajiri wa mabasi hukusanya mchanga wa kwenye basi wakifagia mwisho wa safari..hiki unalizungumziaje
 
Mkuu mshana Hilo wala Skatai.. maana Nishapanda Gari Kabla Halijaondoka Likachomewa Ubaniiiiiiiii Kwanza Pale kw Dereva... Then Ndo Tukaanza Safari
 
SEEING IS BELIEVING!
Kama sitaona kwa macho yangu kitendo cha kichawi, SITAAMINI UCHAWI KAMWE. Ila naheshimu imani za watu, wanaoamini uchawi upo na waamini!
Cha kushangaza kila mtu anayeamini uchawi nikimuuliza umewahi kuona kwa macho yako anadai hapana, siongelei kuona kibuyu kimefunikwa ardhini, naongelea vitu kama 'mtu anapaa na ungo, mbuzi anaongea', uchawi kwangu ni kama a traditional psychology, unacheza tu na akili za watu! Ni suala la imani.
Sasa unawezaje kuamini Mungu yupo au ndo mavi anye kuku akinya bata kaharisha
 
Km bibilia na Quran inakiri uchawi upo wewe ninani hata usiamin??? Uamini usiamini uchawi upo na unafanya kazi Massa 24
 
Sioni point yako hapa, ina maana tunaamini Mungu sababu ya uchawi?? Mimi naamini Mungu upande wa uumbaji na pia kuna majanga ya ajali ambayo tunaepushwa na kulindwa na Mungu, ila si uchawi! Uchawi ni imani yako na kama imekukolea itakumaliza vizuri tu.
 
Km bibilia na Quran inakiri uchawi upo wewe ninani hata usiamin??? Uamini usiamini uchawi upo na unafanya kazi Massa 24
Ndo maana nimesema mwenye kuamini aamini! Mimi siamini na sitaamini mpaka nitakapokuja ona kwa macho yangu sio kusimuliwa au eti timu ilifungwa sababu ilirogwa! Hell No.
 
Brother wangu na mshikaji wake miaka ya 90 walikutana na mapepo mawili barabarani..... warefu sana na wanang'ara
Walikuwa na pkpk, so wale mapepo walikuwa wanawafata mpaka walipofika njia panda na kila mmoja kwenda njia yake.... so nahisi wapo mapepo yasikuwa na time na binadamu.....

Babu yangu ni Dereva kampuni ya TBL,haya mambo ni sehemu ya changamoto anazokumbana nazo njiani,anasema kanuni yake huwa hapishi chochote, Kuna siku aliona kichaa ghafla mbele yake,akamgonga,akapunguza mwendo kucheki nyuma eti anaona kagonga kimnyama cha ajabu. Kuna siku moja huko Dareda alikuwa analikaribia darajaakapunguza mwendo,mara akaona madaraja matatu ghafla,ilikuwa ngumu sana ikabidi apaki apige kwanza dua barabara ikawa clear akaendelea na safari. Hizi mambo usiombe zikukute.
 
Babu yako kawa BRAINWASHED kwamba akiwa safarini atakutana na mambo ya ajabu, kachomelea hilo akilini mwake, ubongo wake unatemgeneza hivyo vitu ila kiuhalisia havipo! Jirani yake ktk basi huwa nae anaona hivyo vitu? Sidhani!
 
Sasa ndio nini?
Kwani ulaya ndio nini au unafikiri ulaya hakuna watu wajinga?

Kwahiyo unataka kuniambia hizo picha unaziamini

Hii ni sababu ndogo sana na inawezekana pia ikawa ni ya kitoto sana..yaani picha tu!
Hivi ujui kama duniani kuna wazushi na wapo tayari kufanya chochote kuaminisha uongo wao..

Mie siamini uchawi sababu najua ni michezo ya kisaikolojia na hayo ya madereva ni illusions tu.
Uongo mwingine huu..

Nakumbuka nilivyokua abt 8 yrs nilichukua machine ya ndevu ya dingi usiku nikajinyoa bila kukusudia, kwavile niliogopa ningechapwa coz nilijipunyuapunyua nakaamua kujikausha mpaka asubuhi na nikachelewa kuamka ndipo mother akaja kuniamsha na kukuta kichwani nimepunyuliwa.

Hapo maza bila kujiuliza akaanza kupiga yowe kwamba wachawi wameninyoa na mie ili nisiulizwe maswali mengi nikajifanya sijielewi kabisa mpaka nikapelekwa kwa waganga mbali mbali

Kesi hilikuwa kubwa sana maana wapiga ramli waliwataja baadhi ya ndugu kwamba ndio wananichezea basi nilivyopata akili ya kiutu SIAMINI TENA UCHAWI coz ni Mind game tu.
Msimamo wako usifanye ndio ukweli na uhalisia, wala huo mfano wako mmoja... Nimeweka hizo picha zina habari zake pia baada ya mtu mmoja kusema ulaya hakuna uchawi umesema huu ni uongo weka link ya kuthibitisha uongo wangu
 
Msimamo wangu sijafanya ndio ukweli bali kutokana na uhalisia wake ndio inakuwa ukweli

Mfano wangu mmoja pia ni ushahidi kiduchu wa kunifanya mie nisiamini uchawi.

Hahaaaa usinichekeshe mkuu so umeweka hizo picha kama ushahidi kwamba ulaya uchawi upo , so kama ni vitu ambavyo vinaweza kunaswa na kamera kwanini bado vinakuwa ni vya kificho kila unayemuuliza atakwambia nimeadithiwa ili ni sawa na popobawa..

Inaonekana hata movie za mazombie we unaamini ni kweli...kitu kuwa kwenye mtandao haina maana ni vya kweli,eti niweke link..kuna mamilioni ya blog ambazo ni za wazushi
 
Nafikiri una tatizo la kuchambua mambo kuepusha kuchoshana na malumbano naona tukubaliane kutokubaliana
 
Unaona unachoamini. Kama huamini haya mavitu huoni kitu. Nimeshaendesha sana majira yote wala sijapata kuona kitu

Aisee naunga mkonyo hoja, ni kweli huwezi ona mauza uza kama na wewe sio uza uza
 
Babu yangu ni Dereva kampuni ya TBL,haya mambo ni sehemu ya changamoto anazokumbana nazo njiani,anasema kanuni yake huwa hapishi chochote, Kuna siku aliona kichaa ghafla mbele yake,akamgonga,akapunguza mwendo kucheki nyuma eti anaona kagonga kimnyama cha ajabu. Kuna siku moja huko Dareda alikuwa analikaribia darajaakapunguza mwendo,mara akaona madaraja matatu ghafla,ilikuwa ngumu sana ikabidi apaki apige kwanza dua barabara ikawa clear akaendelea na safari. Hizi mambo usiombe zikukute.
Dah haya mambo ni heri u hadithiwe na mtu ........
 
Nafikiri una tatizo la kuchambua mambo kuepusha kuchoshana na malumbano naona tukubaliane kutokubaliana
Yes tatizo hilo ninalo sana na haswa pale unapokuja na hoja za uongo na za kitoto...

Na kutuwekea picha za uongo za kutisha ili tuamini kwamba ni ukweli, hapo umefeli mkuu

Ni sawa na kuamin mermaid( nguva) ni mwanamke mzuri...hahahaha
 
Back
Top Bottom