Bado haingii akilini mtu anawezaje kuuawa na risasi mbele ya Askari jeshi wa nchi husika ?

Bado haingii akilini mtu anawezaje kuuawa na risasi mbele ya Askari jeshi wa nchi husika ?

Kazi ya Jeshi ni kulinda mipaka sio kuzuia polisi kupambana na wavunja amani.
 
Jamani pazeni sauti sana sana,hawa watoto wanateswa huko balaa.Kuna mmoja ameonekana na majeraha ya kuchomwa na pasi, si sawa kabisa.

Eeee Mungu tenda jambo tupone.
Nakwambia hii itazalisha kina HAMZA WENGI SANAAAAAA.

SIKU ZOTEE UKITOKA KUANDAMANA ISHI KWA HII QUOTE FROM OSAMA BIN LADEN
"""BIN LADEN'S IDEOLOGY: “Our Youth Love Death as you Love Life""

Ndio maana watu huanzisha vikundi vya uasi kama LORD RESISTANCE ARMY (LRA), UNITA, M23, AL QUIDA, AL SHABAB,MAI MAI main objective ni kutafuta kile kinacho itwa haki.
 
Kazi ya Jeshi ni kulinda mipaka sio kuzuia polisi kupambana na wavunja amani.
Mbona raia wa kigeni waliingia kwa maelfu kuja kuleta vurugu na kurejea nchini kwao, huko mipakani walikua wanalinda nini sasa? Mpaka gani huo wanalinda au "mpaka basi"
 
Toka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu.

Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua zozote za maana achukui hii inawezekana vipi wakuu ?

Mimi kwangu bado hainiingii akilini wakuu mbaya zaidi wanajeshi baadhi wanageuka kuwa kama watoa huduma ya kwanza wanawapakia kwenye magari yao majeruhi wa risasi hili ni jeshi la namna gani yote haya yanafanyika mbele yao.

Binafsi sijawahi kuwa na imani kubwa sana na jeshi la wananchi kwa kipindi kirefu ila kwa yaliyo tokea Oct.29 mbele yao ndio yananishangaza sana

Pia msimamo wangu sio jeshi kuchukua nchi mpaka sasa ni huo ila yale polisi walifanya mbele yao hakuna jeshi la wananchi hapa Tanzania kuna kitu kikubwa sana hakipo sawa ndani ya katika mfumo wao mzima toka juu kwenda chini.
JWTZ kwa sasa ni mali ya mama Abduli, wote wakiambiwa kaa chini wanakaaa kama mazombi - No Why and How.
 
Back
Top Bottom