Bachela kujipikia ni kupoteza muda na Pesa

Bachela kujipikia ni kupoteza muda na Pesa

Kinachoniachaga hoi bachela anaenda kununua nyama kwa ajili ya wali mchana. Ikishaanza kuiva anabadili mawazo anaongeza maji anaenda kununua chapati 2 anakunywa supu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wee nae ebu tuma namba nikutumie hela ya bolt na pia ukanunue kyupi mpya kwa ajii ya mizagamuano

Sawa tajiri tuma na ya kutolea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nipo hapa nasubiri
IMG_2621.jpg
 
Ntanunua chakula;

1. Nikiwa nimechelewa kurudi nyumbani
2. Nikiwa najisikia Kula chakula alichopika MTU mwingine. Na hii ni mara moja Kwa wiki.
3. Ninaumwa na hakuna wa kunipikia.
4. Nipo mjini au kazini. Yaani nikiwa sipo nyumbani.

Raha ya kujipikia;
1. Kwanza unakula chakula kitamu na unaamua kiweje na udambu udambu wa hapa na pale.
2. Unakula chakula kiwango unavyotaka, wengine tunapenda Kula mara Kwa mara lakini kidogo kidogo, angalau kila Baada ya masaa Matatu.

3. Usafi ni wewe.
4. Ukiamua kupika cha moja Kwa moja yaani Mchana na jioni ni wewe na NI gharama nafuu.

5. Lazima uwe na Mwili wenye afya, na ngozi yenye rutuba ukijipikia Kwa sababu unakula Kwa vipimo unavyojiwekea.

Changamoto ni kuisha tuu vyombo Basi
 
Kila nipatapo nafasi ya kuwa nyumbani Huwa napenda kujipikia michemsho sana sana siku ya ijumaa au jumamosi, huwa na enjoy sana, ila nikiamka na hangover inabidi nikimbilie chimbo la mama jane nikatwange mtori au supu nzito sana.

NB: Sijawahi kuridhika na ugali wa bar haswaa pale ninapoagiza kitimoto, kama nina hamu ya kitimoto ni bora niifunge tu ili nikapike ugali wangu nyumbani hata iwe saa 8 usiku. Mbinde ni kwenye kuosha vyombo, sufuria inaweza kaa hata siku 3 bila kuoshwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kila nipatapo nafasi ya kuwa nyumbani Huwa napenda kujipikia michemsho sana sana siku ya ijumaa au jumamosi, huwa na enjoy sana, ila nikiamka na hangover inabidi nikimbilie chimbo la mama jane nikatwange mtori au supu nzito sana.

NB: Sijawahi kuridhika na ugali wa bar haswaa pale ninapoagiza kitimoto, kama nina hamu ya kitimoto ni bora niifunge tu ili nikapike ugali wangu nyumbani hata iwe saa 8 usiku. Mbinde ni kwenye kuosha vyombo, sufuria inaweza kaa hata siku 3 bila kuoshwa
Nilishakaa na sufuria ya ugali wiki tatu nikaona uvivu kuosha nikaitupa tu.
 
Hiyo mbususu na kabamia kangu haka kweli nitaweza kutoboa dakika hata mbili[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]

[emoji12] Si ndio nzuri unaweka juu tu kinamezwa wazungu hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku nilipoona wanatengeneza kachumbari kwenye ule mgahawa😂😂😂kisha nkaona na maji waliyokuwa wanasafishia sahani,vijiko na vikombe😂😂😂,biashara ya kula mgahawani iliishia siku hiyohiyo. Ikitokea niko katika mazingira yanayonilazimu kula mgahawani basi ntakula vyakula vikavu tu.
 
Kupika unasave sanaaa,
Ukiwa na fridge ndo unasave sanaaa, unanunua maharage kg 1 unakula mwezi mzima 🤣
Unanunua njegere za buku 3, maharage kg 1, nyama kg 1 kisha una viweka kwa fridge then hapo unakaa week 2 had mwezi bila kuwaza mboga
 
Hili umeliongea vyema kabisa mfano huku mikoani migahawa mingi vyakula hawaungi na nazi hii ndio sababu ya kuamua tu kupika mwenyewe pale unapopata nafasi mimi huwa napenda jioni nipate wali na samaki nazi iliyokolea
Samaki chakula changu pendwa awe mbichi nimkaushe kidgo kwenye mafuta , sio unakuta samaki kakauka mpka anapoteza uhalisia
 
Mimi naomba niwakumbushe wale wanaooamini Kupika baadhi ya vyakula/mboga zinazotumia mda mrefu mfano maharage eti kutumia mkaa unasave gharama tofauti na Gas,

Hahaa ndugu yangu kaa vizuri tafakari piga hesabu.
Gas ni cheap zaidi ya mkaa,
Kinachokutesa ni hofu ya technology na ule mlio ges ikiwa inanguruma mda mrefu tuu..

Halaf kwa mimi ninayetumia umeme wa 4 tariff, yaani elf 2 napata unit zaidi ya 16, mimi umeme kwangu ni cheap kupikia kuliko hio GasView attachment 2684538Wapishi Wengi ni waoga wa Technology.
Ukitaka kuokoa moto kupika vyakula vya mda mrefu , nunua pressure cooker ,dakika kumi una kula maharage .
 
mi binafsi nakataa kuwa kujipikia gharama huongezeka kwa sababu nikiwa na sh 10,000 naweza kununua mahitaji na nikajipikia kwa wiki 2 ikaisha, wakati sh 10,000 nikila mgahawani kwa kujibana ni siku 4 imeisha.
Unapikia gesi au mkaa? Au unanunua tu unga unabwia kama Msukule
 
Wewe ndio mpuuzi wa kwanza, mwanamke anapaswa kuelewa wazi kwako Usafi na kupika siyo issue wewe unahitaji life partner wala umuhitaji yeye kama laundry machine au chef.

Mke wangu ananijuwa vizuri akizunguwa nitammis yeye tu na kindness kama anayo na siyo mambo mengine.

Binadamu hupaswi kuwa tegemezi kwa binadamu mwenzako, nyinyi ndio wale I can't live without you! How[emoji56][emoji56]
Boss kumbe you're so dumb kias hiki... unachanganya usaf na kujua kupika really? Usafi ni kwa kila mwanaume lazima uwe smart bt kupika sio necessary kwa mwanaume
 
Back
Top Bottom